Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,215
hivi ukisoma upuuzi kama huu na WW unaweza kuwa kama wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wanaharakati tena? Nilitaka niwaunge mkono, sasa nimeghahiri. Haya maandamano ya kisiasa
Na mimi nasema wapigwe
Tayari magaidi wa ukawa watakua wameshajipenyeza kwenye vyuo vyetu.
ha ha ha,hao wanaosoma hawana wazazi wao wawape hizo pesa za field?.ukawa ndio waliowatelekeza vijana wetu kwa kuwanyima pesa wiki ya 8?vp wew usipopewa mshahara kwa miezi miwili,halafu unataka kudai haki yako m2 anakwambia gaidi la ukawa,utajisikiaje mwanaharamu wewe!
Kama wapo field, wataandamana kutokea wapi? Na nani mratibu wa hayo maandamano?
pesa za kulipa bunge la katiba ya ccm inapatikana lakini pesa ya kulipa wanyonge wanafunzi wanaosoma kwa shida haipatikani.hivi hii serikalu ni ya aina gani?mbona inashangaza sana?natoa wito kwa wanafunzi wote wa vyuo vya elimu ya juu kutoichagua ccm mwaka 2015.maana sio mara ya kanza kunyanyaswa kiasi hicho.atakaechagua ccm asilalamike tenaha ha ha,hao wanaosoma hawana wazazi wao wawape hizo pesa za field?.
Kama wanashindwa kuivumilia serikali hata kwa wiki moja then si wawambie wazazi wao wawape?.
Ndo tabu ya kuoa kabla hujajipanga.
Unaoa,unazaa matoto bila kupanga uzazi ,huna uwezo wa kulipia elimu yao,wanageuka kuwa mzigo kwa jamii.
Serikali sio ilowazaa bana,kama wana haraka watumie hela zao.
ha ha ha,hao wanaosoma hawana wazazi wao wawape hizo pesa za field?.

Kwa nini mada hii iwe jukwaa la siasa na siyo la elimu?
So, unawataka wawe na akili kama za UKAWA? Ninyi mliozaliwa nje ya ndoa mna matatizo kila kitu kugoma, kulalamika na ubishi wa kishetani tu. Kuweni kama CCM
mi ndo furaha yangu kuona nimekugusa kivile.Nimekudharau kupita kiasi sikujua una akili ndogo kiasi hicho.