Unajua niliwahi kusema kuna wajinga wengi ndani ya vyama vya upinzani. Kelele za kuandamana leo zilikuwa nyingi sana, ila hadi sasa kimya na viongozi wamekamatwa tena hii ilibidi ndio ichochee zaidi hayo maandamano lakini hakuna kitu.
Nipo kkoo hapa hakuna hata dalili, kila mtu yupo zake busy.