Matovu Godfrey
JF-Expert Member
- Oct 5, 2025
- 986
- 693
- Thread starter
-
- #21
Raia jifunzeni Law of the Jungle. Mkiona gari isiyo kuwa na plate number, hiyo gari (na waliomo humo) ni halali yenu. Iwekeni miguu juu, kisha ipigeni moto fasta!#EnforcedDisappearance #Tanzania
Albert Juma Machumu was abducted yesterday at 8pm in Geita
One of the daily abductions under @SuluhuSamia
Jamani kwa sasa kila mtu ajipange kuishi kwa umakini huyu Mama ka panic hovyo na genge lake
Kumbukeni Oktoba 29 tunaenda kukomboa WOTE!
#MO29 is a movement
View attachment 3493571View attachment 3493572
#Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 ⚠️
Haya maandamano yenu yakifanikiwa, hakikisheni ccm na mbio za mwenge zinafutwa haraka iwezekanavyo. Hivi vitu viwili ndiyo vinasababisha wananchi tuonekane hatuna akili miaka nenda.WATANZANIA GENZ-ZS FLOOR NI YAKO, UTUFANYE! GHADHABU NA MATAIFA
Pamoja tusonge mbele
View attachment 3493193
View attachment 3493194
#Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 ⚠️ #SamiaMustGo #riseupTanzania #FreePolepoleNow #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #struggle_for_africa 📍
Hakuna ukweli@MariaSTsehai /X
Hivi @ccm_tanzania akili gani hizi?
Mara mnawapa supu ya bure vijana
Watumishi wa umma mmewakipa 120,000
Atakayeenda kutiki na kujichafua na jamii achukiwe kwa pesa ndogo hivi au supu wakati wao na watoto wao wana ma GWagon na Bugatti apimwe akili!
Kwa sasa ni mwendo wa #OktobaTunatoka
View attachment 3493276View attachment 3493277
ScreenshotHakuna ukweli
Naona unaugulia maumivu!Maaandamano yataanzia JF na kuishia JF🤣