โผ๏ธ๐จSIRARI NA TARIME UTEKAJI UMEKUWA JANGA๐จโผ๏ธ
Wana Sirari wanasema Utekaji sasa basi! Wametekwa wana CCM na wanaCHADEMA
Tarime yote ni kilio ila wahanga haswa ni Sirari! Na huu utekaji wa Juma Idd ndo umedhihirisha @tanpol ndo wahusika
Ujumbe wa Wana Sirari ๐๐พ
Familia nzima ya
Juma idd chacha WA kata ya mbogi
Yeye
Mke wake na mtoto bado wanashikiliwa na polisi
1-Juma Iddy
2-mke wa Juma Iddy
3-Kimune Juma mtoto WA shule
4-Nyakohanda Gesere mfanyabiashara Tarime
Tarime
Mke wake na mtoto wake baada ya Baba kutekwa na genge la watekaji waliokuwa wanaongozwa na mkuu WA watekaji ambaye NI RCO Tarime Rorya
Maskamo
Kwa kutumia nguvu Nyumbani katika kijiji cha ghetenga ..Tarime
Mama na mtoto walipoona Aina ya uchukuaji na Kwa kuzingatia history ya watu zaidi ya 20 waliobebwa Tarime
Waliona nao waage dunia wakapanda kwenye gari la watekaji
Wananchi walipoziba kutaka kujua Nani Wana juma iddy
Gari lilipoelemewa na nguvu ya umma likaingia polisi kujihami
Mpaka sasa ukweli NI kwamba Juma iddy na familia Yake hawakuwa na kosa lolote isipokuwa sasa anatungiwa makosa na mke wake ana kosa la kukataa mumewe asitekwe
Wafanyakazi wake pia wako katika hatari
Mmoja WA WA ndugu zake pia mfanyabiashara mwenye hardware nyakohanda gesere naye alikamatwa na mji wote WA sirari sasa NI mawindano Kati ya polisi na Raia
Hakuna Amani
Na za ndani zinasema jeshi liko pia Doria kutisha Raia
Itakumbukwa kuwa iko sintofahamu wananchi WA sirari wameshuhudia uonevu sasa Kwa zaidi ya miaka miwili utekaji
Watu wengi wakiwamo
Mgombea udiwani CCM
Kata ya sirari ...Samson sinda mseti alitekwa
Diwani 2020 - 2025 na mgombea WA udiwani kata ya ganyange na mfanyabiashara sirari (
Siza keheta na mwenzake Antony mseti wote wawili walitekwa )
Wakala WA forodha
Sconslaus nyangoko alitekwa
Chonchorio Daniel mjumbe WA mkutano mkuu CCM alitekwa
Mussa Juma tall alitekwa
Gimase bwiru gimase alitekwa
Isaya William mfanyabiashara alitekwa
Wote hao NI wachangiaji ama wanahusika Moja kwa moja na mzunguko WA uchumi WA mji WA sirari hawakupaswa kudhuliwa Haki Yao ya kuishi kwa papara kiasi hiki tunachoshuhudia
Taharuki NI kubwa wafanyabiashara wengi wamekimbia mji WA sirari kwa mamia
Akiwemo masafa , na wengine
Kadhalika
Kitendo cha maafisa WA polisi kuwa wanazunguka na mipini ya majembe na mapanga licha ya kuwa na bunduki nzito kupiga watu hovyo kuvunja vijana migongo na miguu imesababisha watu wote WA jamii ya wakurya na wakazi WA sirari kuweka kando tofauti zao za kisiasa sasa kupigania uhai wao kwa sauti Moja
Hivyo hili la mwisho la kuja kumchukua Juma iddy ilikuwa NI kama kupasha Moto kwenye petrol
Hivyo tufikishie ujumbe wasione tuko kimya
Mioyo unavuja damu
Mke wa nyangoko anaishi kwa kuchagiwa chakula Jambo Baya Sana na ana watoto mapacha wawili anayetuletea haya NI RCO maskamo si mwingine
Hatuna furaha kabisa
Ujumbe WA Wana sirari