Maandamano IFM

Maandamano IFM

ishu sio ulinzi ishu ni hao kina rama jangili ndio kuwapoteza..
 
waanzishe ulinzi shirikishi na wakikamataa mwizi wasimpeleke polisi. nakuhakikishia wizi wote utaisha mara moja. mia
 
Ni kama kawaida ya Polisi,taarifa zilishapelekwa lakini hakuna lolote lililofanyika...

umeona enheeee halafu kuna uzi humu alikuwepo hadi dr fau akajitetea kuhusu ulinzi shirikishi..
 
kuna mdau alishawahi leta malalamiko na mb dr faustine alisema analifanyia kazi lkn mpaka leo hakuna kilichofanyika kweli nishaanza amini zile tuhuma za diwani wa kibada akimtuhumu mb ndungulile kwamba hajawahi changia hata sumni kwenye ujenzi wa kituo cha polisi kibada
 
kuna mdau alishawahi leta malalamiko na mb dr faustine alisema analifanyia kazi lkn mpaka leo hakuna kilichofanyika kweli nishaanza amini zile tuhuma za diwani wa kibada akimtuhumu mb ndungulile kwamba hajawahi changia hata sumni kwenye ujenzi wa kituo cha polisi kibada

ngoja nimuite Yericko Nyerere aje kutoa wazo maana na yeye ni wakigamboni..
 
Last edited by a moderator:
Wanafunz wa ifm waandamana kuelekea wizara ya mambo ya ndan wakidai kuchoshwa na vitendo vya ujangiri wanavofanyiwa wenzao wanaoishi kigambon. Hiyo inatokana na vijana wa ifm kubakwa tena wanaume na majambaz sugu wa kigambon na kuibiwa kila kitu.
 
Ndio Polisi wetu walivyo. Sie mtaani kwetu kulikuwa na kibaka sugu mmoja na kundi lake walikuwa wanasumbua sana. Kila siku wakipelekwa Polisi wanatoka. Mpaka siku moja wakamvamia dada wa mkuu wa kituo kidogo cha polisi hapa mtaani. Hapo ndio walikamatwa wakafikishwa mahakamani na huyo afande Mkuu wa Kituo akaorganize mashahidi wa kutosha jamaa akahesabiwa mvua 125 kwa makosa mbali mbali ya mpaka miaka mitatu iliyopita. Sasa hivi anaozea Segerea, na chama lake lote wametawanyika mtaa uko salama.
 
Kwa vile Polisi wanashirikiana na hao wezi na Majambazi maandamano yao kwenda polisi hayatamaliza tatizo. Wafanye tu operation kwa kujichukulia sheria mkononi kuwaangamiza hao majambazi Mwema ameharibu kabisa Jeshi. Wako busy kufanya kazi ya KINANA kuwinda Tembo na Faru
 
Poleni wanafunzi mliolawitiwa,hivyo simu na laptop mtanunua vingine na pia komaeni sio mkiona polisi mnalala mbele...INAUMA!!!
 
Hivi hili suala la kulawiti hili naona limezaa mizizi na hii ni sababu ya kuachwa kwa siku nyingi ikionekana ni suala la kawaida ... kuna siku nilishawahi kuongea hapa suala la watu kulawiti sijui wagoni wanaofumaniwa na wake za watu kwamba kuna kikundi kabisa cha kulawiti mtu unalawitiwa mbel3 5a kadamnasi wake kwa waume na wanashangilia.. nikakemea na nikasema itungwe sheria kali kwa watu wa namna hii ... nikazodolewa, nikatukanwa na nikaonekana sina akili.... juzi kariakoo kuna jamaa anaitwa arafat ngumi jiwe alilawitiwa na watoto wadogo tu mbele ya kadamnasi na video ikawekwa youtube... watu wakashanhilia kwa meno yote....
Nikapinga hili swala watu wale wale wakaniona sina akili.....
Leo hii wamelawitiwa wanafunzi ndio wanaandamana mpaka sijui wizara ya mambo ya ndani wakisema wanataka ulinzi kwa hostel yao

Nani ambaye anasimama kuwatetea kundi la watu waliolawitiwa kisa eti kushutumiwa wametembea na mke wa mtu? Au wao hawana haki
Nani anasimama kuwatetea watu kina arafat ngumi jiwe?

Solution iwekwe sheria na kampeni ambayo itakuwa inapinga kwa hoja na nguvu zote swala la wanaume kulawitiwa
Kwani ni jambo linaloonekana kama ndio adhabu ya watu fulani sijawahi kuona mwanaume kalawitiwa kwa kuwa kaiba mke wa mtu nikaona maandamano kwa kupinga ukatili huu.. wanaume lets wake up tunashindwa hata na wanawake katika kutetea haki zao? This is pathetic

Mbona kuna kampeni inayokataza kujichukulia sheria mkononi kwa wezi wanaokamatwa hata kama kaiba?

Kwa nini na hii isiwe vivyo hivyo?
Lets be GT guys

Hii thread ya mkuki ni mtamu kwa nguruwe ila kwa binadamu ni mchungu
 
Wanaitumia haki yao kikatiba, nilichofurahi ni kuona polisi wakisindikiza kwa amani tu maandamano haya!
 
dah kama taarifa hizi ni za kweli, kitendo hicho ni kibaya sana na kinahitaji kukomeshwa haraka sana.
 
Back
Top Bottom