Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama kawaida ya Polisi,taarifa zilishapelekwa lakini hakuna lolote lililofanyika...
wanaolawitiwa ni hao wanafunzi wa ifm au? mbona sijakuelewa mtoa thread
kuna mdau alishawahi leta malalamiko na mb dr faustine alisema analifanyia kazi lkn mpaka leo hakuna kilichofanyika kweli nishaanza amini zile tuhuma za diwani wa kibada akimtuhumu mb ndungulile kwamba hajawahi changia hata sumni kwenye ujenzi wa kituo cha polisi kibada
umeona enheeee halafu kuna uzi humu alikuwepo hadi dr fau akajitetea kuhusu ulinzi shirikishi..
nimepishana nao ferry wamejaa hadi juu kwenye pantoni kubwa na wala hawajalipa 200Kwenda kituo cha polisi hadi wapande kivuko, kwa nini wasiende cha Selander Bridge?
Kwenda kituo cha polisi hadi wapande kivuko, kwa nini wasiende cha Selander Bridge?