Maandamano IFM

Maandamano IFM

polisi mmoja = raia 1000
hosteli 1 = askari wangapi?
wanaojua kukokotoa mniambie.
 
Sikuya ijumaa kuamkia jumamosi wanafunzi wawili wa jinsia ya kiume waishio hosteli za kigamboni jijini Dar es salaam walilawitiwa na majambazi baada ya kuvamiwana kutaka kuporwa laptop na baada ya kubainika hawana laptop majambazi hayo yaliwaingilia kinyme na maumbile!!!!MY TAKE IS kutokana na tendo hilo kuwa ni la aibu tunavyofahamu ni vigumu kutoa siri hizo mbele ya jamii especially kama hiyo ya IFM JE ILIJULIKANA VIPI KAMA WENZAO WAMEINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE
 
Ukweli kwa ududu na mautumbo ya vijana wako kamanda kova,wananchi hawataacha kuchukua sheria mkononi.
Kikwete amewapa madaraka basi simamieni vizuri au mnataka haje yeye kuwalinda wanafunz.?.
Leo tushukuru wanafunzi wa IFM wametumia busara kuandamana kwa amani,je wangehamua kuwatafuta wahlifu wenyewe si yangetokea mengine.
Jamani kila mwenye zamana atimize zamana yake kwani tunamtukanisha rahisi kwa wapiga kura.
 
Wewe ukiingiliwa hutahitaji matibabu? Kama utahitaji basi habari hiyo itafahamika
 
ilijulikana vipi kama baba yako ndio baba halali??
 
Hawa wanafunzi waongo, dume la mbegu kamwe haliwezi kulawitiwa..! Tena unalawitiwa bwenini? Haiwezekani, hao watakuwa wanalewa mpaka wanazima halafu wengine wanawanyatia..! Sasa huu ulinzi mpaka vyubani utawezekana vipi?

hakuna ma2 alyelewa km unadhan niwalevi fika muhimbili ukawaone kuna waliopgwa mapanga na kuna waliolawitiwa
 
Polisi wetu wamelala dili za pesa wanachangamkia ila mengine hadi watu waandamane. Kova chukua hatua kwa wazembe hao.
 
Hawa wanafunzi waongo, dume la mbegu kamwe haliwezi kulawitiwa..! Tena unalawitiwa bwenini? Haiwezekani, hao watakuwa wanalewa mpaka wanazima halafu wengine wanawanyatia..! Sasa huu ulinzi mpaka vyubani utawezekana vipi?

Ndugu yangu Mungu akusamehe hayajakukuta ndo maana
 
karne hii unalawitiwa na unaona aibu kusema kama umelawitiwa ili aliyekufanyia kitendo hicho achukuliwe hatua, piga picha watu wanakukamata kwa nguvu kisha unakaa kimya.
 
Sikuya ijumaa kuamkia jumamosi wanafunzi wawili wa jinsia ya kiume waishio hosteli za kigamboni jijini Dar es salaam walilawitiwa na majambazi baada ya kuvamiwana kutaka kuporwa laptop na baada ya kubainika hawana laptop majambazi hayo yaliwaingilia kinyme na maumbile!!!!MY TAKE IS kutokana na tendo hilo kuwa ni la aibu tunavyofahamu ni vigumu kutoa siri hizo mbele ya jamii especially kama hiyo ya IFM JE ILIJULIKANA VIPI KAMA WENZAO WAMEINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE

NYIE HAMUELEWI! SISI WAKAZI WA KIGAMBONI NDO TNAJUA JINSI MAADILI YA UKU YALIVOALIBIWA NA HAWA WANAFUNZI, ATA TNAOGOPA YAKIAMIA KWA TUBINTI TWETU, NASIKIA KULIKUWA NA TUKIO LA KUNYANG'ANYANA WANAWAKE DHIDI YA WANAJESHI KT BAA YA KAKALA KARIBU NA MTAA WA KWA URASA AMBAO ULIPELEKEA WANAFUNZ HAO WAGONV KUCHUKULIWA NA WAJEDA HAO NA KUPELEKWA PASIPOJULIKANA, LABDA NDO KULAWITIWA UKO, JAMAN NENDENI BAR YA KWA DAN, KWA URASA, KWA KAKALA PIA SAN SIRO UKU KGAMBON MJIONEE WANAFUNZ HAWA WA IFM PIA MWALIM NYERERE COLLEGE WANAVOUZA MIILI Km HAWANA AKIL NA WAMECHANGANYIKIWA, WANAFUNZ NANYI MJIRUDI KIMAADILI NYAMBAFU NYIE TAKECARE O/W MTALAWITIWA WEEE...
 
wewe ndio hueleweki rudia darasa la pili ukajifunze somo la mwandiko!!!

NYIE HAMUELEWI! SISI WAKAZI WA KIGAMBONI NDO TNAJUA JINSI MAADILI YA UKU YALIVOALIBIWA NA HAWA WANAFUNZI, ATA TNAOGOPA YAKIAMIA KWA TUBINTI TWETU, NASIKIA KULIKUWA NA TUKIO LA KUNYANG'ANYANA WANAWAKE DHIDI YA WANAJESHI KT BAA YA KAKALA KARIBU NA MTAA WA KWA URASA AMBAO ULIPELEKEA WANAFUNZ HAO WAGONV KUCHUKULIWA NA WAJEDA HAO NA KUPELEKWA PASIPOJULIKANA, LABDA NDO KULAWITIWA UKO, JAMAN NENDENI BAR YA KWA DAN, KWA URASA, KWA KAKALA PIA SAN SIRO UKU KGAMBON MJIONEE WANAFUNZ HAWA WA IFM PIA MWALIM NYERERE COLLEGE WANAVOUZA MIILI Km HAWANA AKIL NA WAMECHANGANYIKIWA, WANAFUNZ NANYI MJIRUDI KIMAADILI NYAMBAFU NYIE TAKECARE O/W MTALAWITIWA WEEE...
 
wewe fodoso kweli, wewe kumbe unalawitiwa kila siku na majambazi na huwa unakaa kimya eeeh ?

Back
Top Bottom