Kamanda hajapanda pantoni ng'oo
mojawapo ya maadili ya watoa huduma za afya ni kutunza siri za wateja.Wewe ukiingiliwa hutahitaji matibabu? Kama utahitaji basi habari hiyo itafahamika
Hawa wanafunzi waongo, dume la mbegu kamwe haliwezi kulawitiwa..! Tena unalawitiwa bwenini? Haiwezekani, hao watakuwa wanalewa mpaka wanazima halafu wengine wanawanyatia..! Sasa huu ulinzi mpaka vyubani utawezekana vipi?

Mtu akilawitiwa huwa inajulikana vipi kuwa kalawitiwa???[jamaa itabidi wahame chuo hao wameathirika sana kisaikolojia
Sikuya ijumaa kuamkia jumamosi wanafunzi wawili wa jinsia ya kiume waishio hosteli za kigamboni jijini Dar es salaam walilawitiwa na majambazi baada ya kuvamiwana kutaka kuporwa laptop na baada ya kubainika hawana laptop majambazi hayo yaliwaingilia kinyme na maumbile!!!!MY TAKE IS kutokana na tendo hilo kuwa ni la aibu tunavyofahamu ni vigumu kutoa siri hizo mbele ya jamii especially kama hiyo ya IFM JE ILIJULIKANA VIPI KAMA WENZAO WAMEINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE
NYIE HAMUELEWI! SISI WAKAZI WA KIGAMBONI NDO TNAJUA JINSI MAADILI YA UKU YALIVOALIBIWA NA HAWA WANAFUNZI, ATA TNAOGOPA YAKIAMIA KWA TUBINTI TWETU, NASIKIA KULIKUWA NA TUKIO LA KUNYANG'ANYANA WANAWAKE DHIDI YA WANAJESHI KT BAA YA KAKALA KARIBU NA MTAA WA KWA URASA AMBAO ULIPELEKEA WANAFUNZ HAO WAGONV KUCHUKULIWA NA WAJEDA HAO NA KUPELEKWA PASIPOJULIKANA, LABDA NDO KULAWITIWA UKO, JAMAN NENDENI BAR YA KWA DAN, KWA URASA, KWA KAKALA PIA SAN SIRO UKU KGAMBON MJIONEE WANAFUNZ HAWA WA IFM PIA MWALIM NYERERE COLLEGE WANAVOUZA MIILI Km HAWANA AKIL NA WAMECHANGANYIKIWA, WANAFUNZ NANYI MJIRUDI KIMAADILI NYAMBAFU NYIE TAKECARE O/W MTALAWITIWA WEEE...