Maandamano IFM

Maandamano IFM

NYIE HAMUELEWI! SISI WAKAZI WA KIGAMBONI NDO TNAJUA JINSI MAADILI YA UKU YALIVOALIBIWA NA HAWA WANAFUNZI, ATA TNAOGOPA YAKIAMIA KWA TUBINTI TWETU, NASIKIA KULIKUWA NA TUKIO LA KUNYANG'ANYANA WANAWAKE DHIDI YA WANAJESHI KT BAA YA KAKALA KARIBU NA MTAA WA KWA URASA AMBAO ULIPELEKEA WANAFUNZ HAO WAGONV KUCHUKULIWA NA WAJEDA HAO NA KUPELEKWA PASIPOJULIKANA, LABDA NDO KULAWITIWA UKO, JAMAN NENDENI BAR YA KWA DAN, KWA URASA, KWA KAKALA PIA SAN SIRO UKU KGAMBON MJIONEE WANAFUNZ HAWA WA IFM PIA MWALIM NYERERE COLLEGE WANAVOUZA MIILI Km HAWANA AKIL NA WAMECHANGANYIKIWA, WANAFUNZ NANYI MJIRUDI KIMAADILI NYAMBAFU NYIE TAKECARE O/W MTALAWITIWA WEEE...

..! Kwahiyo mkuu' una maana kuwa wanafunzi wanajiuza wenyewe?
 
usikoment kama vile hapo ulipo unalawitiwa, au ubongo wako upo kwenye masaburi yako?!

Walindwe na Polisi Hostel kwani wao ni zaidi ya Raia wengine ambao tunakosa ulinzi huo huku mtaani? Kwa nini wasipambane na mmiliki wa hiyo hosteli aweke ulinzi binafsi? Polisi wenyewe wako wangapi kulinda kundi kubwa lote la Wanafunzi ambao ni wanaume wenye nguvu?.
 
..! Kwahiyo mkuu' una maana kuwa wanafunzi wanajiuza wenyewe?

NAKUKARIBISHA UKU SAN SIRO UJE UONE MATENDO YA AIBU WANAYOFANYA WANAFUNZ AWA DADAZETU.
HAWA JAMAA MADENT WALIKUA BAR YA KAKALA NA MADEMU ZAO, SASA WAJEDA WALOTOKA DEPO WAKAFIKA PAALA APO, WAKAWATAKA MABINT HAO SASA SINTOFAHAM IKAANZA INASEMEKANA WALIONDOKA NA IVO VIDUME POSIBLY NDO VIKALIWA TIGO UKO,
IVI MNAAMINI MAJAMBAZ WA UKu KIGAMBON WAO NI KUWAIBIA W.FUNZ TU?
 
wewe ndio hueleweki rudia darasa la pili ukajifunze somo la mwandiko!!!

Te te te, umeniduwaza kwa kicheko, km umesoma Udsm lzm umepita mikononi mwangu leo nikajifunze somo la mwandiko? dah, itabidi labda niamie MABADILIKO FORUM uku tnashushiana heshima
 
nani hapa sio critical thinker ???!! ni mimi niliyefungua uzi wa kijinga eti ilijulikana vipi kama walilatiwa (hapa kuna swali au jibu) ?? tena huu uzi inatakiwa ufutwe/closed ni uzalilishaji kwa waliotendewa vitendo hivyo!!!

kuwa critical thinker na HESABU zako
 
dawa ya hao wezi ni kuuwa yoyote atakae kamatwa maana wamezidi kufanya wenzao maduka ya kugawa vitu bure
 
NYIE HAMUELEWI! SISI WAKAZI WA KIGAMBONI NDO TNAJUA JINSI MAADILI YA UKU YALIVOALIBIWA NA HAWA WANAFUNZI, ATA TNAOGOPA YAKIAMIA KWA TUBINTI TWETU, NASIKIA KULIKUWA NA TUKIO LA KUNYANG'ANYANA WANAWAKE DHIDI YA WANAJESHI KT BAA YA KAKALA KARIBU NA MTAA WA KWA URASA AMBAO ULIPELEKEA WANAFUNZ HAO WAGONV KUCHUKULIWA NA WAJEDA HAO NA KUPELEKWA PASIPOJULIKANA, LABDA NDO KULAWITIWA UKO, JAMAN NENDENI BAR YA KWA DAN, KWA URASA, KWA KAKALA PIA SAN SIRO UKU KGAMBON MJIONEE WANAFUNZ HAWA WA IFM PIA MWALIM NYERERE COLLEGE WANAVOUZA MIILI Km HAWANA AKIL NA WAMECHANGANYIKIWA, WANAFUNZ NANYI MJIRUDI KIMAADILI NYAMBAFU NYIE TAKECARE O/W MTALAWITIWA WEEE...
Mhh! Taratibu basi maana naona una hasira
mpaka unatuandikia kisukuma.sijui angekua amefanyiwa hivyo ni mwanao
 
mpaka unatuandikia kisukuma. Hivi angefanyiwa hivyo mwanao ungejisikiaje?
 
14/01/2013

Wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha cha jijini Dar es Salaam (IFM) wameandamana leo majira ya adhuhuri hadi kwenye Wizara ya Mambo ya Ndani wakiwa na madai ya kutopewa ulinzi na jeshi la polisi kwenye makazi yao ya hosteli za Kigamboni kutokana na kuvamiwa na majambazi mara kwa mara.

Wanafunzi hao walidai kuwam, siku ya Ijumaa walifanya kikao na jeshi hilo ili wawape ulinzi lakini suala la ajabu ni kuwa, siku waliyofanya kikao na Jeshi hilo ndiyo siku wenzao wawili wakiume walipovamiwa na kulawitiwa.

Majambazi hao wamekua wakidai wapewe laptops, simu na fedha na kama mwanafunzi anakataa, humlawiti.

Rais wa Serikali ya wanafunzi ya Chuo cha IFM alizungumza leo na Kamanda wa Polisi wa Kanda maalumu ya Kipolisi ya jiji la Dar es Salaam Suleiman Kova mara baada ya kuwasili eneo la ofisi za Wizara ya Mambo ya ndani ambapo alisema, "Wanafunzi wenzetu wa kiume wamelawitiwa nyinyi tumewapa taarifa siku ya ijumaa kuwa hatunaulinzi tunaibiwa hovyo vitu vyetu halafu siku hiyo hiyo unafanyika ubakaji huo…" ndipo kamanda Kova aliwaamuru wanafunzi hao wafuatane naye waende hadi Kigamboni kwenye Kituo waliporipoti taarifa zao pamoja na kwenda kwenye Hosteli zao. Kova aliahidi kushughulikia jambo hilo kwa haraka bila kusita.

Picha zifuatazo zimepatikana kwenye blogu ya Said Powa - Raha za Pwani.

(Bofya picha moja moja, kuzikuza kwa mwonekano mzuri zaidi).

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ulinzi uliimarishwa nnje ya jengo la Wizara ya Mambo ya ndani kufuatia kadhia hiyo ya wanafunzi.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kamanda wa Polisi wa Kanda maalum ya Kipolisi ya jiji la Dar es Salaam Suleiman Kova akimsikiliza Rais wa Serikali ya wanafunzi ya Chuo cha IFM mara baada ya kuwasili eneo la ofisi za Wizara ya Mambo ya ndani ambapo aliwaamuru wanafunzi hao wafuatane waende hadi Kigamboni kwenye Kituo walichoripoti taarifa zao pamoja na kwenda kwenye Hosteli zao. Kova aliahidi kushughulikia jambo hilo kwa haraka bila kusita.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]"Wanafunzi wenzetu wa kiume wamelawitiwa nyinyi tumewapa taarifa siku ya ijumaa kuwa hatunaulinzi tunaibiwa hovyo vitu vyetu halafu siku hiyo hiyo unafanyika ubakaji huo"[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye mitaa ya Posta jijini humo wakielekea kwenye kivuko cha Kigamboni ili kwenda kumuonyesha Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Kipolisi ya jiji la Dar es Salaam Suleiman Kova.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wakianza maandamano kuelekea Feli kwaajili ya kuvuka kwenda Kigamboni.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kova akitoa maelezo kwa waandishi wa habari juu ya hatua zitakazochukuuliwa baada ya kupata taarifa hizo ambapo aliwaamuru wanafunzi hao wote kwapamoja kwenda Kigamboni kufuatilia tukio hilo kwa pamoja.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mitaani Posta.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hadi kieleweke![/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tunaimba! Tunavuka bure Tunavuka bure kwenye Pantoni.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kova akishangiliwa wakati wa safari kuelekea Feli.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kwenye Kona ya feli kuwania geti ili waingie bure![/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wakajazana kupita kiasdi Kova akazuia kivuko kisiondoke hadi wapungue![/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hapa wakigoma kupungua kazi iliyochukua zaidi ya Saa moja hadi kivuko kuendelea na kazi ya kuvusha abiria.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pamoja na kutakiwa kupungua hapa wengine walizidi kuendelea kuingia na kukijaza kivuko hicho. Picha zote na Raha za Pwani, hii ni sehemu ya kwanza tutawaletea sehemu ya pili ya tukio hili ambalo hadi hivi sasa filamu inaendelea hapa feli na ikielekea Kigamboni.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Source: wavuti.com - wavuti
 
Dah... Serikali ya CCM siku hizi hakuna USALAMA? WOW BORA nimekimbia NCHI --- Wanafunzi sasa kazi kutembea USIKU?
 
Wachague 10% ya hao wanafunzi wapewe bunduki kwa ajili ya kujilinda wakiwa hostel, kama hakuna polisi wa kutosha kulinda.
 
poleni sana,inasikitisha!Wanafunzi wamefanyiwa kitendo chakinyama sana.Dah! magonjwa ni mengi siku hizi,e mungu waepushe na adha hiyo.
Ila jeshi la police tunataka kuwajua wahusika haraka iwezekanavyo.
 
Aisee!hawa jamaa walijaa sana kwenye kivuko walistahili kichapo tena cha nguvu
 
Hizo hostel zipo nje ya main campus? May be am missing a point, nashindwa kuelewa hao vibaka wanapata wapi huo moyo wa ujasiri
 
Back
Top Bottom