May be am missing a point, hebu nidadafulie zaidi. Hao madent wamelawitiwa vyumbani kwao au nje ya hostel? Pili hao vibaka wamepata wapi courage ya kufanya hiyo kitu mbaya wakati madent wanaishi in a mob/group?Ndugu yangu Mungu akusamehe hayajakukuta ndo maana