Maandamano Iran bado yako pale pale, wamdhamiria kuondokana na udhulumaji wa kidini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huku serikali ikiendelea kuwanyonga raia wake ili imlinde 'mungu' wa dini yao, ila wananchi wamedhamiria lazima wafike mwisho wake.....hata wauawe mamilioni....wameandamana miji kadhaa kwa mpigo.
Mayatollah wanalo.....
=====================
Protesters in Iran have marched through the streets of multiple cities in the most widespread demonstrations in weeks, online videos purported to show on Friday.

The demonstrations overnight on Thursday marked 40 days since Iran executed two men on charges related to protests that began last year and went on to grip the Islamic Republic for month.

The initial unrest – which began after 22-year-old Mahsa Amini died on 16 September, three days after her arrest by “morality police” – morphed into one of the most serious challenges to Iran’s theocracy since the 1979 Islamic Revolution.
 
.... watakuambia hizo ni fitna za wamarekani na mayahudi! By the way tangu yule mfitini Mkuu General Qassem ageuzwe bucha zile kelele za death to America, death to Israel zimepotea.

The wises walishasema; you can fool some people all time, but you can't fool all people all time. Ndio gharama wanayobeba ma-ayatollah kwa sasa.
 
Swali nalo jiuliza mbona Mungu anatetewa na watu na sisi yeye kutoka kutetea ukweli wake?
 
Huu ndio wakati sahihi wa US na israel kupenyeza silaha kwa waandamanaji ili kuwezesha vita ya wenyewe kwa wenyewe sijui wanachelewa wapi
 
Acha kumfananisha Ayatolah na hao kunguni.

Hehehe bora hata hao akina Hitler hata kama walikua wauaji kidogo walichangia kwenye uchumi wa taifa lao, huyo ayatolla ana umuhimu gani zaidi ya kuvaa makanzu na kubinuka binuka.
 
Huku serikali ikiendelea kuwanyonga raia wake ili imlinde 'mungu' wa dini yao, ila wananchi wamedhamiria lazima wafike mwisho wake.....hata wauawe mamilioni....wameandamana miji kadhaa kwa mpigo.
Mayatollah wanalo.....
=====================
Protesters in Iran have marched through the streets of multiple cities in the most widespread demonstrations in weeks, online videos purported to show on Friday.

The demonstrations overnight on Thursday marked 40 days since Iran executed two men on charges related to protests that began last year and went on to grip the Islamic Republic for month.

The initial unrest – which began after 22-year-old Mahsa Amini died on 16 September, three days after her arrest by “morality police” – morphed into one of the most serious challenges to Iran’s theocracy since the 1979 Islamic Revolution.
Askari nao wako mbioni watajiunga na wanao andamana....
 
Serikali ya Ayatolah kamwe haiwezi kuondolewa
Kaondolewa napoleon, hitler...
Halafu ref!; waliomuondoa Mohammad Reza Shah PahlaviKing of Kings
Light of the Aryans
Commander-in-Chief of the Iranian Armed Forces!
Hao hao watamuondoa [emoji123][emoji106]
220px-Shah_fullsize.jpg
 
Huku serikali ikiendelea kuwanyonga raia wake ili imlinde 'mungu' wa dini yao, ila wananchi wamedhamiria lazima wafike mwisho wake.....hata wauawe mamilioni....wameandamana miji kadhaa kwa mpigo.
Mayatollah wanalo.....
=====================
Protesters in Iran have marched through the streets of multiple cities in the most widespread demonstrations in weeks, online videos purported to show on Friday.

The demonstrations overnight on Thursday marked 40 days since Iran executed two men on charges related to protests that began last year and went on to grip the Islamic Republic for month.

The initial unrest – which began after 22-year-old Mahsa Amini died on 16 September, three days after her arrest by “morality police” – morphed into one of the most serious challenges to Iran’s theocracy since the 1979 Islamic Revolution.
Najivunia kua mtanzania
 
Back
Top Bottom