Maandamano Kenya: Mmoja auawa kwa kupigwa risasi

Maandamano Kenya: Mmoja auawa kwa kupigwa risasi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Gesi.JPG
Imeelezwa tukio limetokea Mjini Kisumu wakati wa maandamano ya kupinga Serikali yanayofanyika kwa mara ya pili yakiratibiwa na Umoja wa Azimio.

Imeelezwa kumetokea vurugu kati ya Polisi na umati wa watu uliokuwa ukishiriki maandamano, Askari walitumia mabomu ya machozi lakini waandamanaji wakawa wanarusha mawe.

Mwili wa mtu aliyefariki umehifadhiwa katika Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Jaramogi Oginga Odinga.
====

One Person Shot Dead During Azimio Demos In Kisumu
One person was shot dead in Kisumu as anti-government protests called by the opposition entered the second day on Monday.

The deceased was killed in the chaotic scenes witnessed in the lakeside city as anti-riot police officers engaged in running battles with the crowd.

In the scuffle, police ended up using teargas to disperse them after the protesters began pelting stones at the officers.

The deceased’s body was moved to the Jaramogi Oginga Odinga Teaching and Referral hospital. Mortuary.

Source: Digital Citizen
 
Updates ya maandamano please
 
Baba amuunge mkono mwenzake wasaidiane kujenga nchi hata kama ni kweli alipokwa ushindi. Mambo mengine ni kukubaliana tu na matokeo maisha yaendelee kwa faida ya wengi.
 
Katiba mpya ya Kenya imeshindwa kabisa kuzuia lawama za wizi wa kura wala kuzuia Maandamano ya ghasia
 
kuna wapumbavu bado wanasema tuige demokrasia ya kenya?
 
Kwa nchi za Afrika kuandamana ni kujiongezea ugumu wa maisha.

Wakenya walivyo wapumbavu wanapewa airtime na mabeberu ili wavimbe waiharibu nchi yao kisa tu rais wao ameonekana kutaka kuegemea Urusi, ila wao mabeberu wanapambana na maandamano huko kwao kimyakimya kama vile hamna kinachoelezea.

Ufaransa wanaandamana maelfu kwa maelfu na wanapigwa virungu hatari! Israel napo ni pa moto, marekani, Finland, Uingereza, Ujerumani, Italy nk hamtangaziwi Ila hapo Kenya mkitoka watu 100 kwenda kuandamana mnatangazwa na vyombo vya habari vya mabeberu kuwa mmetoka elfu moja 😁.

MK254 kadri mnavyoendelea kuwaabudu hawa mabeberu watawatia hadi vidole vya mqunduni

Ifike mahali mtambue operesheni ya Urusi nchini Ukraine imesababisha ugumu wa maisha karibu kila kona ya dunia
 
Kenya iko safi sana.Acha uoga dogo hutaishi milele.
Jeshi la Kenya linafanya kazi Gani kama linashindwa kulinda serikali na watu wake wasiotaka kujihusisha na siasa za kihuni.

Mkamateni Raila au akoswe koswe na risasi hata imjeruhi kidogo TU atakua mpole.

Hivi Kenya Haina mifumo . Mnashindwa kusakama biashara za Raila mkatumia hata majambazi wa kukodi Toka Somalia wakachoma moto biashara na kila Mali aliyo nayo akatia akili.

Jeuri yake ni pesa sio kutaka kuwatumikia Wakenya.

Raila ni mpumbavu anayetaka kuiingiza Kenya kwenye vurugu uchumi uporomoke na Wazungu waeneze ushoga wao.

Chuki ya Raila Kwa Ruto ni Kwa sababu ya Kupinga ushoga.

Hakuna Demokrasia ya kijinga kama anayotaka kuleta Mhuni Raila. Hivi yeye akishinda Kwa mfano halafu Watu wa Raila waandamane na kufanya vurugu nchi itakalika Vipi? Asiwaone watanzania akafikiri ni wajinga . Sio kweli watanzania wanastawisha Taifa lao Kwa amani.

Na Tanzania yeyote atakayeleta maandamano ya kupumbavu auawe TU mana haiwezekani nchi iwe na vita Kwa sababu ya mpumbavu mmoja anataka kuwa Rais. Ukipitwa na kura 5% hapo hata ukiibiwa inabidi utumie busara mana ukilazimisha ujue Chama ulichokishinda pia kinaweza kuandamana. Sasa mtaandamana mpaka lini.

Raila kama sio Qapungu Kwa Nini hakuandamana wakati wa matokeo kabla Ruto hajaapishwa? Mtu akishaapishwa kumfanyia vurugu ni kutaka kuiingiza nchi kwenye mauaji.? Nchi zetu zinatumiwa na Mataifa ya nje kuweka maraisi wanaounga mkono ushoga kama Raila. Maandamano Kwa nchi za Kiafrika hayana faida zaidi ya kuwawezesha wazungu kuuza Silaha na zana za kuzuia maandamano.

Mkiona Vipi mpigeni huyo mnyama Raila Kwa sababu anatafuta mbinu ya kulinda maslahi yake.

Wakishindwa basi watumie Jeshi kuzuia mtu yoyote kutoka nje. Atangaze hali ya hazari. Raila azuiwe asitoke nje.

Lindeni amani yenu Kwa nguvu zote msije mkawa kama Libya, Iraki na Somalia.

Waulizeni Ukraine waliodangwanywa na Wazungu wa magharibi kuwa watafaidi uhuru wa Kuwa mashoga na Sasa wanakosa hata nyumba ya kwenda kulalana. Pumbavu sana Demokrasia ya wazungu.
 
Jeshi la Kenya linafanya kazi Gani kama linashindwa kulinda serikali na watu wake wasiotaka kujihusisha na siasa za kihuni.

Mkamateni Raila au akoswe koswe na risasi hata imjeruhi kidogo TU atakua mpole...
Eti bana Kama wameshindwa kutumia hata majambazi kutoka somalia waje huku tz Kuna masalia ya wasiojulikana..mbona easy tu!

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Amani !!!!inaweza kutokea kwa maneno machache ila kurudi kwake kunahitaji nguvu kubwa,
Watanzania tulinde amani yetu
 
Back
Top Bottom