Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Mar 19, 2023 #1 Inaonyesha kwamba watu wa Kenya ni watu wa amani. Tuone kesho itakuwa vipi. Sijui Ruto atafan6a Nini kesho. Lakini nimeona video clip,Rais wa Senegal anamfukuza Ruto kwenye mkutano AU. Anamwita Ruto mwizi wa kura.
Inaonyesha kwamba watu wa Kenya ni watu wa amani. Tuone kesho itakuwa vipi. Sijui Ruto atafan6a Nini kesho. Lakini nimeona video clip,Rais wa Senegal anamfukuza Ruto kwenye mkutano AU. Anamwita Ruto mwizi wa kura.
SYLLOGIST! JF-Expert Member Joined Dec 28, 2007 Posts 8,189 Reaction score 7,853 Mar 19, 2023 #2 Na mayai viza yanapatikana huko, kwani Odinga aliwasii wafuasi wake waanze kususia kununua Mayai huko.
Na mayai viza yanapatikana huko, kwani Odinga aliwasii wafuasi wake waanze kususia kununua Mayai huko.
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Mar 19, 2023 #3 Poppy Hatonn said: .... nimeona video clip,Rais wa Senegal anamfukuza Ruto kwenye mkutano AU. Anamwita Ruto mwizi wa kura. Click to expand... Hiyo video umeiona peke yako?
Poppy Hatonn said: .... nimeona video clip,Rais wa Senegal anamfukuza Ruto kwenye mkutano AU. Anamwita Ruto mwizi wa kura. Click to expand... Hiyo video umeiona peke yako?
KingCobra95 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 3,249 Reaction score 5,863 Mar 19, 2023 #4 Historically, Maandamano ya Amani hayajawahi kuza mabadiliko yenye maana na hata kama yalizaa basi it was ephemeral
Historically, Maandamano ya Amani hayajawahi kuza mabadiliko yenye maana na hata kama yalizaa basi it was ephemeral