Maandamano kwenye bunge la Marekani kupinga mauaji Palestine

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
20231019_082045.jpg
20231019_055214.jpg
20231018_191715.jpg
Watu wameandamana ndani ya Majengo ya bunge la Marekani kupinga mauaji ya Israel dhidi ya wapalestina huko Gaza!
 
Attachments

  • 20231019_082041.jpg
    20231019_082041.jpg
    51.5 KB · Views: 2
Nitajjie nchi walau 3 ambazo ziliandamana hapo awali!
Awali ya nini?
Hao wanaoandamana ni warabu!; wanasikitika ni kwa nini Yahudi Analipiza kisasi!

Walitaka watulie na kuuawa kama wanavyo wauwa Waafrika Kule Sudan!
Sasa wamekutana na Yahudi Ambaye Ameagizwa na Mungu wake!

Mungu wao Wayahudi Amewaagiza Wayaishi haya ili wanusurike na wafuzu!

[emoji116][emoji116]
Deuteronomy 19:20-21
[20]Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

[21]Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa
mkono, mguu kwa mguu.
 
Hao ni wayahudi wanaoishi marekani
Wayahudi wakengeuke Agizo Hili La Mungu wao??
Maskhara hayo! [emoji15][emoji12]
[emoji116][emoji116]
Deuteronomy 19:20-21
[20]Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

[21]Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa
mkono, mguu kwa mguu.

HAO ni warabu Walio Igiza
 
Wayahudi hawaamini biblia ni kitabu kitakatifu,wanachounga mkono kwenye bible ni suala la nchi ya ahadi,wayahudi marekani wameandamana kupinga vurugu za Israel,ipo kila sehemu,au shule hukupita lugha inakupiga chenga?
 
Hilo agizo limefahamika zaidi na wasabato wa Tanzania tu.
 
1697706720703.png

Israel ndio taifa pekee lenye demokrasia ya kweli hapo mashariki ya kati, mapenzi ya jinsia moja ruksa, lazima tuisapoti israel tuachane na waarabu hawana demokrasia
Hiyo ndio demokraisa unayoitaka.Unawaamrisha watoto wahame na wazazi hao halafu unawauwa kutoka angani.
 
Wayahudi hawaamini biblia ni kitabu kitakatifu,wanachounga mkono kwenye bible ni suala la nchi ya ahadi,wayahudi marekani wameandamana kupinga vurugu za Israel,ipo kila sehemu,au shule hukupita lugha inakupiga chenga?
Kwa hiyo unafurahia Marekani kuwa na demokrasia ya kweli kuweza kuwaruhusu hata waisraeli wa huko kuipinga serikali ya kwao.

Je, hilo linawezekana kwenye hizo nchi mnazoshabikiaga humu.? Nafikiri hata nyie mnashangaa sana.
 
Unaahabikia ushoga unaopigiwa chapuo na kulazimisha na marekani na ulaya!?
 
Back
Top Bottom