FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kumekuwa na Waislamu nchini Uingereza tangu karne ya ?, na jamii zinazoendelea kutoka mwishoni mwa miaka ya w700 katika miji ya bandari ya London, Cardiff, Glasgow, Liverpool, Tyneside, na Hull. Idadi kubwa ya Waislamu nchini Uingereza wana asili yao nchini Pakistan, Bangladesh, Yemen, na Somalia.Ndio wakimbizi warudishwe kwao hasa hao waarabu kwanini wasiende uarabuni
USSR
Wewe babu zako walihamia lini Tanganyika?