Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
😆😆😆 Nchi imefunguka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti wewe ndo umeajiriwa kumtetea mama mitandaoni! Namuonea huruma SamiaKwamba hao ndio Wana shida ya Maji peke Yao Tanzania nzima? Kwamba wakiandamana ndio maji yatatoka?
BADALA YA KUWATAWANYA POLISI WANGEWAPELEKEA MAJI, NAAMINI WANGETAWANYIKA BAADA YA KUPATA MAJI.Wananchi wa Kata ya Olijoro namba 5 Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara ambapo leo Agosti 26, 2024 yamefanyika maandamano makubwa ya Wananchi wakiishinikiza Serikali, Kuwapatia maji baada ya huduma hiyo kuikosa kwa muda mrefu sasa.
Wananchi na Viongozi wa Vijiji wamesema changamoto hiyo ni ya muda mrefu licha kuwepo kwa ahadi nyingi ambazo azijatakelezwa hadi sasa.
Aidha wamesema ndoo moja ya maji wanauziwa kwa shilingi 1500. Wananchi hao wamefika mbali zaidi wakidai hawajawahi kumuona mkuu wa Mkoa na Mbunge wa jimbo hilo katika kata yao.
Soma Pia: Manyara: Polisi watumia mabomu kutawanya wananchi waliozingira kituo cha Polisi wakimtaka mtuhumiwa aliyebaka na kumchinja mtoto wa miaka 6
Wamewataka viongozi wa mkoa huo wakiwemo Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya kufika wajionee watu wanavyoumia kwa shida ya upatikanaji wa huduma muhimu ya maji.
Hkaika, miccm yote ni mifurushi kwa tiafa hili!Nilishasema awali kabisa kuwa wewe ni mzigo.
Ni aibu kwa jamii
Anakubalije kuangushwa!! Si mseme tu ukweli.Huyo bi Mkubwa anaangushwa na Makundi makubwa mawili.
1.Chawa -hawa ni wapumbavu wachache wenye ufinyu mkubwa wa akili na pengne watu wasiojitambua sana, watu hawa wanamuangusha Mama kwa sababu ya kumlevya sifa asizokuwanazo wanampa sifa ambazo zinafanya ajisahau na aoene kamalza majukumu yake kumbe uvundo tu.
2.Watenda kazi wake - Madiwani ,Wabunge ,wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, viumbe hawa wanamuangusha kwa sababu pengne hawamfikishii taarfa ya nn kinaendelea huko mikoani pamoja na changamoto mbalimbali za wananchi.
SIASA NI MCHEZO MCHAFU SANA HUO NI MPANGO UMEPANGWA, SOON MTAONA MRADI MPYAWananchi wa Kata ya Olijoro namba 5 Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara ambapo leo Agosti 26, 2024 yamefanyika maandamano makubwa ya Wananchi wakiishinikiza Serikali, Kuwapatia maji baada ya huduma hiyo kuikosa kwa muda mrefu sasa.
Wananchi na Viongozi wa Vijiji wamesema changamoto hiyo ni ya muda mrefu licha kuwepo kwa ahadi nyingi ambazo azijatakelezwa hadi sasa.
Aidha wamesema ndoo moja ya maji wanauziwa kwa shilingi 1500. Wananchi hao wamefika mbali zaidi wakidai hawajawahi kumuona mkuu wa Mkoa na Mbunge wa jimbo hilo katika kata yao.
Soma Pia: Manyara: Polisi watumia mabomu kutawanya wananchi waliozingira kituo cha Polisi wakimtaka mtuhumiwa aliyebaka na kumchinja mtoto wa miaka 6
Wamewataka viongozi wa mkoa huo wakiwemo Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya kufika wajionee watu wanavyoumia kwa shida ya upatikanaji wa huduma muhimu ya maji.
Nchi hii kunashida Kila sehemu lakini wapuuzi utasikia wanasema mama anaupiga mwingi