Maandamano Makubwa Kata ya Olijoro Namba 5, Mkoani Manyara Wananchi Wafunga Barabara Kudai Maji, Polisi waingilia kati

Maandamano Makubwa Kata ya Olijoro Namba 5, Mkoani Manyara Wananchi Wafunga Barabara Kudai Maji, Polisi waingilia kati

Kwamba kuna uchaguzi unakuja na utafanyika kama ule wa 2020 na kama makondoo tutakuwepo?

Looh!

Hatujifunzi hata kutokea kwa wamasai?

Hii nchi itakombolewa na spirit kama hizi:

View attachment 3080744

Hawa wakitaka katiba mpya leo, inatoka.

Muda wa kuweka matumaini yetu kwa wamasai tena wale wa vijijini!
Chawaa wakuwapiii

Mama anafanya kazi kubwa ,mkuu w Wilaya ya Simanjiro si yule sijui likuwaga chadema
 
Chawaa wakuwapiii

Mama anafanya kazi kubwa ,mkuu w Wilaya ya Simanjiro si yule sijui likuwaga chadema

Jioni hii kina joni watakuwa wangali kwenye mgawo wao wa leo.

Wale wengine nao taabu kuukataa ukweli:

"No sweet without sweat!"
 
Kwamba kuna uchaguzi unakuja na utafanyika kama ule wa 2020 na kama makondoo tutakuwepo?

Looh!

Hatujifunzi hata kutokea kwa wamasai?

Hii nchi itakombolewa na spirit kama hizi:

View attachment 3080744

Hawa wakitaka katiba mpya leo, inatoka.

Muda wa kuweka matumaini yetu kwa wamasai tena wale wa vijijini!
the issue was settled and solved already gentleman,

all many thanks are to be directed to comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, the President of URT for her tired less efforts and immediate actions among her responsible units and departments within specific area :KasugaYeah: :KasugaYeah: :ClapHD: :ClapHD:
 
the issue was settled and solved already gentleman,

all many thanks are to be directed to comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, the President of URT for her tired less efforts and immediate actions among her responsible departments within the area :KasugaYeah: :KasugaYeah: :ClapHD: :ClapHD:

Hivi umetambua hii ni masai 2 baada ya masai 1 ya Ngorongoro?

Na bado!
 
Kwa maelezo ya Mtaalam wa maji inawezekana wanaoitwa wataalam wanachelewesha maendeleo. Ikiwa vifaa vipo kama ilivyoonekana ilikua ni kazi ya usiku na mchana maji yapatikane.

Kuna machine nyingi za kuchimbia ikiwa hata ikitumika tractor la kijiji kulaininisha udongo mabomba yapite ni sawa.
Ni aibu kusikia watu wanakosa maji au wanakunywa maji machafu.
Hata ikiwa ni kuwaomba walioandamana kwa kuanza kuchimba nao. Sawa.
 
Hivi umetambua hii ni masai 2 baada ya masai 1 ya Ngorongoro?

Na bado!
kila kona ya nchi hii unayoijua,
kuna mradi tayari au mpango kabambe wa maendeleo ya huduma za jamii aidha unaanza, imefikia hatua fulani ama ndio unakamilika....

si mchezo,
dhamira ya dhati na jitihada za makusudi za Dr.Samia Suluhu Hassan katika maendeleo ni kuhakikisha huduma muhimu sana za jamii katika kila pembe ya nchi ni za uhakuka, bora, za kujitosheleza na za kuaminika nchi nzima bila mbambamba ya mtu yeyote, upende usipende :pedroP:
 
Upate mbunge kama sugu anaye tambia wenzake kuwa na Vito vya thamani kuliko wote yaani mtu anayetegemea kugombea Bado anaona kuvaa mikufu ya almasi ni ustaa
 
Mmasai 1 ni zaidi ya wanajeshi wa 5 au police 15 au magereza 5 kwahiyo hawo sio wenzako
 
Mmasai 1 ni zaidi ya wanajeshi wa 5 au police 15 au magereza 5 kwahiyo hawo sio wenzako

Ndiyo maana hatima ya nchi hii iko mikononi mwao.

Laiti ingekuwa kuna kama kuslim mtu akawa mmasai ...!
 
Kwa maelezo ya Mtaalam wa maji inawezekana wanaoitwa wataalam wanachelewesha maendeleo. Ikiwa vifaa vipo kama ilivyoonekana ilikua ni kazi ya usiku na mchana maji yapatikane.

Kuna machine nyingi za kuchimbia ikiwa hata ikitumika tractor la kijiji kulaininisha udongo mabomba yapite ni sawa.
Ni aibu kusikia watu wanakosa maji au wanakunywa maji machafu.
Hata ikiwa ni kuwaomba walioandamana kwa kuanza kuchimba nao. Sawa.

Kama ilivyokuwa aibu kuwa umuhimu wa katiba hauonekani
 
Hakika,machadema yanaongea tu yakiwa nyuma ya keybord kule twitter..lakini vitendo ni sifuri.
 
Dah Tz bhana, na hapo bomba zinaweza kulazwa chap maji yakatoka wiki vizuri baadae watu wanarudia msoto.
 
Dah Tz bhana, na hapo bomba zinaweza kulazwa chap maji yakatoka wiki vizuri baadae watu wanarudia msoto.

Ndiyo maana hawa wakitaka katiba mpya ni leo tu. Huoni hawa ndiyo wenye hatma ya nchi?
 
Back
Top Bottom