MAMA BOMAYEEEEE
Mtu anaweza kucheka, kama mazuri vile.
Ila tunabidi kuwa wamasai kuikomboa nchi.
Kwani hata Awazi kasogea hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAMA BOMAYEEEEE
Chawaa wakuwapiiiKwamba kuna uchaguzi unakuja na utafanyika kama ule wa 2020 na kama makondoo tutakuwepo?
Looh!
Hatujifunzi hata kutokea kwa wamasai?
Hii nchi itakombolewa na spirit kama hizi:
View attachment 3080744
Hawa wakitaka katiba mpya leo, inatoka.
Muda wa kuweka matumaini yetu kwa wamasai tena wale wa vijijini!
Chawaa wakuwapiii
Mama anafanya kazi kubwa ,mkuu w Wilaya ya Simanjiro si yule sijui likuwaga chadema
the issue was settled and solved already gentleman,Kwamba kuna uchaguzi unakuja na utafanyika kama ule wa 2020 na kama makondoo tutakuwepo?
Looh!
Hatujifunzi hata kutokea kwa wamasai?
Hii nchi itakombolewa na spirit kama hizi:
View attachment 3080744
Hawa wakitaka katiba mpya leo, inatoka.
Muda wa kuweka matumaini yetu kwa wamasai tena wale wa vijijini!

the issue was settled and solved already gentleman,
all many thanks are to be directed to comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, the President of URT for her tired less efforts and immediate actions among her responsible departments within the area![]()
![]()
![]()
![]()
kila kona ya nchi hii unayoijua,Hivi umetambua hii ni masai 2 baada ya masai 1 ya Ngorongoro?
Na bado!

Ajabu hao hao wamasai wanaipigia kura ccm
Mmasai 1 ni zaidi ya wanajeshi wa 5 au police 15 au magereza 5 kwahiyo hawo sio wenzako
Kwa maelezo ya Mtaalam wa maji inawezekana wanaoitwa wataalam wanachelewesha maendeleo. Ikiwa vifaa vipo kama ilivyoonekana ilikua ni kazi ya usiku na mchana maji yapatikane.
Kuna machine nyingi za kuchimbia ikiwa hata ikitumika tractor la kijiji kulaininisha udongo mabomba yapite ni sawa.
Ni aibu kusikia watu wanakosa maji au wanakunywa maji machafu.
Hata ikiwa ni kuwaomba walioandamana kwa kuanza kuchimba nao. Sawa.
Hakika,machadema yanaongea tu yakiwa nyuma ya keybord kule twitter..lakini vitendo ni sifuri.
Dah Tz bhana, na hapo bomba zinaweza kulazwa chap maji yakatoka wiki vizuri baadae watu wanarudia msoto.
Wewe ulitaka tumpambanie nani
Wewe ulitaka tumpambanie nani Kwa maoni Yako?
Pili hakuna mtu anaepambaniwa zaidi ya Taifa chini ya Rais SSH.
Mwisho unataka Samia amalize Changamoto za maji za Toka uhuru ndani ya miaka 4? Wewe unaweza?👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C_IGd4pqyu3/?igsh=Y2V4aDUxbzMya2Nx