Tetesi: Maandamano makubwa kufanyika Oktoba 29 kuwakumbuka waliouwawa mwaka jana

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,366
Reaction score
5,209
Kuna tetesi kuwa kutakuwa na maandamano makubwa sana hapa nchini ambayo yatakuwa mahususi kwa ajili ya kuwakumbuka wananchi na raia wema waliouwawa Oktobab 29 mwaka 2025.

Japokuwa rais Samia alishasikika akiwa huko Zanzibar kuwa bunduki na risasi zilishawaogopesha wananchi kuandamana lakini watu bado wana kiu ya kudai demokrasia na kupinga mauaji.
 
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Issue kubwa sio maandamano tu issue ni pale ambapo waandamanaji wanaleta vurugu na uharibifu na wizi wa mali za wengjne mitaaani hapa ndo wanapokosea vijana by the way idea ya kuwakumbuka ni njema kama itafamyika kwa ustaarabu
 
Mimi mwananchi wa pandagichiza sina muda huo wa kushiriki katika vurugu nasubiri fursa za kiuchumi kutoka kwa wanaharakati
Mtanganyika yoyote mwenye akili na utashi mema lazima ataandamana .
Wewe huwezi kwasababu ya Uchawa, Uzanzibar au unafaidika na fedha za damu .
 
Kuna tetesi kuwa kutakuwa na maandamano makubwa sana hapa nchini ambayo yatakuwa mahususi kwa ajili ya kuwakumbuka wananchi na raia wema waliouwawa Oktobab 29 mwaka 2025.

Japokuwa rais Samia alishasikika akiwa huko Zanzibar kuwa bunduki na risasi zilishawaogopesha wananchi kuandamana lakini watu bado wana kiu ya kudai demokrasia na kupinga mauaji.
Waandamane tu tena ikiwezekana wawe na picha za hao watu mamilioni wanaodai walipotea. Ila kubwa wajue, wakifanya tena vurugu wajue na sie wananchi wapenda amani tumejipanga kuilinda amani yetu, familia zetu na mali zetu. Vyombo vya Dola vitatukuta tunaendelea kudumisha amani!
 
Kuna tetesi kuwa kutakuwa na maandamano makubwa sana hapa nchini ambayo yatakuwa mahususi kwa ajili ya kuwakumbuka wananchi na raia wema waliouwawa Oktobab 29 mwaka 2025.

Japokuwa rais Samia alishasikika akiwa huko Zanzibar kuwa bunduki na risasi zilishawaogopesha wananchi kuandamana lakini watu bado wana kiu ya kudai demokrasia na kupinga mauaji.
ok. :1Head:
 
***** HAANDAMANI MTU. NIACHE KUTAFUTA MKATE WA SIKU WA FAMILIA NIKAUNGUE NA JUA BARABARANI
 
Tangu uanze kuutafuta huo mkate umeweka store mingapi? Kama unayo mentality ya kutoka ndio ule, una tofauti gani na kuku? Wanaojielewa hawatafuti vy kuka leo bali miaka kumi ijayo. Acha uzwazwa!
 
***** HAANDAMANI MTU. NIACHE KUTAFUTA MKATE WA SIKU WA FAMILIA NIKAUNGUE NA JUA BARABARANI
Ni mambo mawili kwako

1. Unauwezo mdogo wa kufikiri na umetokea familia za kimasikini sana
2. Unafaidika na utawala huu
 
Issue kubwa sio maandamano tu issue ni pale ambapo waandamanaji wanaleta vurugu na uharibifu na wizi wa mali za wengjne mitaaani hapa ndo wanapokosea vijana by the way idea ya kuwakumbuka ni njema kama itafamyika kwa ustaarabu
Jeshi la polisi lina wajibu wa kuwalinda waandamanaji
 
Back
Top Bottom