Tetesi: Maandamano makubwa kufanyika Oktoba 29 kuwakumbuka waliouwawa mwaka jana

Mimi mwananchi wa pandagichiza sina muda huo wa kushiriki katika vurugu nasubiri fursa za kiuchumi kutoka kwa wanaharakati
Mbwa wewe muone kwanza asa saivi unapata fursa gani zamwamwa wewe? Kazi ushabiki tu, fursa za hadi uwe na kadi ya ccm? mlishajiwekea mandate ya kuwa ccm ndio damu?
 
Haya kapiganieni maisha ya wengine huku yenu yakizidi kudidimia, ukiandama ukaumizwa mwanasiasa unayemshabikia ataishia kukemea ili aonekane kasema na aongezeke hadhi yake kiumaarufu, hadi adhaminiwe na wageni.

Ila wewe na madonda yako au ulemavu unaoupata ni wewe na familia yako, hata mia hakupatii
 
Hapo tu tayari umemshabikia wasira pumba wewe
 
WAPENDA AMANI TUKO TAYARI KUKINUKISHA TENA.AWAMU HII TUMEJIPANGA VYEMA KABISA. TUMEPATA MAFUNZO YA KUTOSHA KUWAKABILI HAWA WAHUNI WA SA100.LAZIMA NCHI IKOMBOLEWE kutoka kwa watekaji wa polepole kwa maagizo ya sa100.
 
Noted
 
Hata kama mtatishia watu kuandama na kudai haki zao je mtafanya ivo mpaka lini,
 
Back
Top Bottom