Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,366
- 5,209
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔Kuna tetesi kuwa kutakuwa na maandamano makubwa sana hapa nchini ambayo yatakuwa mahususi kwa ajili ya kuwakumbuka wananchi na raia wema waliouwawa Oktobab 29 mwaka 2025.
Japokuwa rais Samia alishasikika akiwa huko Zanzibar kuwa bunduki na risasi zilishawaogopesha wananchi kuandamana lakini watu bado wana kiu ya kudai demokrasia na kupinga mauaji.
Maandamano siyo vurugu ila wewe hujui maana ya maandamano.Mimi mwananchi wa pandagichiza sina muda huo wa kushiriki katika vurugu nasubiri fursa za kiuchumi kutoka kwa wanaharakati
Mtanganyika yoyote mwenye akili na utashi mema lazima ataandamana .Mimi mwananchi wa pandagichiza sina muda huo wa kushiriki katika vurugu nasubiri fursa za kiuchumi kutoka kwa wanaharakati
STUPIDMimi mwananchi wa pandagichiza sina muda huo wa kushiriki katika vurugu nasubiri fursa za kiuchumi kutoka kwa wanaharakati
Issue kubwa sio maandamano tu issue ni pale ambapo waandamanaji wanaleta vurugu na uharibifu na wizi wa mali za wengjne mitaaani hapa ndo wanapokosea vijana by the way idea ya kuwakumbuka ni njema kama itafamyika kwa ustaarabu
Waandamane tu tena ikiwezekana wawe na picha za hao watu mamilioni wanaodai walipotea. Ila kubwa wajue, wakifanya tena vurugu wajue na sie wananchi wapenda amani tumejipanga kuilinda amani yetu, familia zetu na mali zetu. Vyombo vya Dola vitatukuta tunaendelea kudumisha amani!Kuna tetesi kuwa kutakuwa na maandamano makubwa sana hapa nchini ambayo yatakuwa mahususi kwa ajili ya kuwakumbuka wananchi na raia wema waliouwawa Oktobab 29 mwaka 2025.
Japokuwa rais Samia alishasikika akiwa huko Zanzibar kuwa bunduki na risasi zilishawaogopesha wananchi kuandamana lakini watu bado wana kiu ya kudai demokrasia na kupinga mauaji.
ok.Kuna tetesi kuwa kutakuwa na maandamano makubwa sana hapa nchini ambayo yatakuwa mahususi kwa ajili ya kuwakumbuka wananchi na raia wema waliouwawa Oktobab 29 mwaka 2025.
Japokuwa rais Samia alishasikika akiwa huko Zanzibar kuwa bunduki na risasi zilishawaogopesha wananchi kuandamana lakini watu bado wana kiu ya kudai demokrasia na kupinga mauaji.
***** HAANDAMANI MTU. NIACHE KUTAFUTA MKATE WA SIKU WA FAMILIA NIKAUNGUE NA JUA BARABARANI
Ni mambo mawili kwako***** HAANDAMANI MTU. NIACHE KUTAFUTA MKATE WA SIKU WA FAMILIA NIKAUNGUE NA JUA BARABARANI
Haandamani mtu na hamna uwezo wa kushawishi mtu aingie barabaraniNi mambo mawili kwako
1. Unauwezo mdogo wa kufikiri na umetokea familia za kimasikini sana
2. Unafaidika na utawala huu
Jeshi la polisi lina wajibu wa kuwalinda waandamanajiIssue kubwa sio maandamano tu issue ni pale ambapo waandamanaji wanaleta vurugu na uharibifu na wizi wa mali za wengjne mitaaani hapa ndo wanapokosea vijana by the way idea ya kuwakumbuka ni njema kama itafamyika kwa ustaarabu