Mbwa wewe muone kwanza asa saivi unapata fursa gani zamwamwa wewe? Kazi ushabiki tu, fursa za hadi uwe na kadi ya ccm? mlishajiwekea mandate ya kuwa ccm ndio damu?Mimi mwananchi wa pandagichiza sina muda huo wa kushiriki katika vurugu nasubiri fursa za kiuchumi kutoka kwa wanaharakati
We hilo lipe ignore unajisumbua bureNyoko
Hapo tu tayari umemshabikia wasira pumba weweHaya kapiganieni maisha ya wengine huku yenu yakizidi kudidimia, ukiandama ukaumizwa mwanasiasa unayemshabikia ataishia kukemea ili aonekane kasema na aongezeke hadhi yake kiumaarufu, hadi adhaminiwe na wageni.
Ila wewe na madonda yako au ulemavu unaoupata ni wewe na familia yako, hata mia hakupatii
Viroba vilishakatazwa imekuwaje bado unatumia?Hapo tu tayari umemshabikia wasira pumba wewe
NotedWAPENDA AMANI TUKO TAYARI KUKINUKISHA TENA.AWAMU HII TUMEJIPANGA VYEMA KABISA. TUMEPATA MAFUNZO YA KUTOSHA KUWAKABILI HAWA WAHUNI WA SA100.LAZIMA NCHI IKOMBOLEWE kutoka kwa watekaji wa polepole kwa maagizo ya sa100.
Harufu mtaiweza jameni?Hiyo siyo tetesi Bali tutakinukisha
Waandamanaji wana wajibu wa kuheshimu haki na mali za wengine.Jeshi la polisi lina wajibu wa kuwalinda waandamanaji
Wew upo kundi lipSiku zote wanaoandama ni Polisi, wanaharakati woogaaa
Sisapoti sana serikali lakini siwezi kupoteza muda kuandamana.Wew upo kundi lip
wanaharakati wao wanawaingiza mkenge wananchi,Siku zote wanaoandama ni Polisi, wanaharakati woogaaa
Wewe ni msema kweliSisapoti sana serikali lakini siwezi kupoteza muda kuandamana.
Ngoja tuane this timewanaharakati wao wanawaingiza mkenge wananchi,
bila - bilaNgoja tuane this time
Naona akili zimekurudia mjinga weweViroba vilishakatazwa imekuwaje bado unatumia?