Bila kumwona Nuruvazi, Mange, Maria na wanaharakati wengine pale mbele wakiongoza maandamano sishauri mtu akaandamane. Ni upuuzi mkubwa mtu yuko USA au Nairobi anawaambia TUSOGEE ubungo na nyie kama ng'ombe mnasogea. Kwenye ishu za maandamano nitamheshimu Prof Lipumba tu kwasababu ndo kiongozi alikuwa yupo mstari wa mbele kwenye maandamano.