Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Hakukaliki wala wananchi hawataki kabisa kutulia .wananchi wamegoma kabisa kusubiri muda wa kuchukua Fomu ufike, wananchi wamegoma kabisa kujizuia furaha zao zilizo jaa katika vifua vyao, wananchi wameshindwa kabisa kuvumilia na kusalia majumbani mwao kuendelea na kazi.
Badala yake wananchi na watanzania kwa mamilioni wamepanga kufanya maandamano makubwa sana kuwahi kutokea hapa Nchini. Kwa lengo la kupongeza uteuzi wa Rais Samia kugombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu.
Wananchi na watanzania kwa ujumla wao wanataka waionyeshe Dunia na ulimwengu wote kwa ujumla wake kuwa Rais Samia ndio chaguo la watanzania na ndiye kipenzi cha watanzania.wanataka kupeleka ujumbe DUNIANI kote kuwa Rais Samia ndiye mboni ya watanzania na ndiye aliyebeba matumia ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.
Wanataka kupeleka ujumbe Duniani kwote kuwa Rais Samia ndio tumaini la watanzania na ndiye anayeungwa mkono na mamilioni ya watanzania.na kwamba wapo nyuma yake na wapo tayari kufa kwa ajili ya Rais Samia na kufanya mapambano ya aina yoyote ile na kupambana na yeyote yule kwa ajili yake.
Kwa hakika Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe.usishindane na aliyeinuliwa na kupewa kibali na Mungu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.