Maandamano Makubwa Kuwahi Kutokea Kufanyika Nchini kote Kuunga Mkono Uteuzi wa Rais Samia Kugombea Urais

Ipo sku utaandka thread ambayo ntafurah na mm ngoja nkupe muda, mana huwa najua wew ni msomi kiwango cha juu au IQ ni kubwa ila kwa sms zako hizi nafuta yote ngoja niendelee kuwaamini akina Mshana Jr
 
Rais Samia amefanya furaha ya mamilioni ya watanzania kuongezeka. Ukifanya utafiti wa haraka haraka unaona wazi kiwango cha furaha kwa watanzania kimeongezeka sana kwa sababu ya uwepo wa Rais Samia madarakani.

Kabisa; Leo nimepita Ubungo kuna Mzee nikamwona analia, akasema ni furaha ya Mheshimiwa Rais
 
Mimi nitakuwa mbele kabisa na bango langu kubwa la Mama yetu kipenzi Rais Samia. Anatosha na mitano tena hadi 2030
 
Atakayethubutu kuandamana atapigwa Hadi achakae. Yaani kipigo Cha mbwa Koko. Shetani mkubwa wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Mirembe please ongezeni vyumba, kuna wehu wanataka kuandamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…