Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Habari wana jamvi.
Maandamano makubwa yanaendelea Senegal nzima baada ya kiongozi wa upinzani Ousmane Sonko kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kulaghai watoto chini ya miaka 21.
Awali bwana Sonko ambaye ni gavana wa jimbo mojawapo alikuwa na tuhuma za ubakaji. Pale dada wa saloon ya massage alipomtuhumu kumbaka.
Lakini jana kwenye hukumu alikutwa hana hatia ya ubakaji ila akakutwa na kosa la ulaghai ambapo adhabu yake ni kifungo kuanzia miaka miwili mpaka mitano.
Sonko siku zote anasema hizo ni tuhuma za kisiasa ili rais wa sasa Macky Sall asiwe na mpinzani na ajiongezee muda wa kutawala.
Mpaka muda huu maandamano yameingia siku ya pili.
Waandamanaji wamekua wakiingia barabarani na kuchoma mali mbalimbali hasa zinazomilikiwa na wafaransa....
Bank 8 zimepigwa moto
kituo kimoja cha mafuta
Supermaket
watu 9 mpaka sasa wamefariki.....
More updates to come...