Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Za ki PutinSiasa za afrika Ni za kishenzy Sana[emoji4]
Sio kweliZa ki Putin
Madaraka matamu sanaSiasa za afrika Ni za kishenzy Sana[emoji4]
Asante Kwa updatesUpdates.
Vifo vilivyorekodiwa ni 16 mpaka jumatatu.
Majengo pretol station nyingi zmechomwa.
Uvamizi kwenye maduka na supermakets
Internet imezimwa kwa siku ya 4.
Jumanne.
Hali ya Dakar ni shwari watu wameanza kurejea makazini ingawa si kwa wingi. Askari wametanda kila sehemu.
Mpaka leo Ousmane Sonko bado kutiwa nguvuni yupo nyumbani kwake Dakar na nyumba yake imezungukwa na askari ili kumzuia kutoroka...