The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
- Thread starter
- #21
Kwani litakuwa tukio la kwanza serikali kuwahi kuwatoa watu kwa maslahi mapana ya taifa!?Wewe tukikutoa kwenye makazi yako utajisikiaje, au unaona raha tu likifanywa kwa wengine............kama mmechukua bahasha mjiandae kuzitapika.
Mbona kule bonde la ruaha ihefu waliondolewa watu wengi tu! Na waliondoka na maisha yanaendelea