Maandamano makubwa ya kunusuru Hifadhi ya Ngorongoro

Maandamano makubwa ya kunusuru Hifadhi ya Ngorongoro

Hata usipotumia akili nyingi utaweza kujua kwamba ongezeko la binadamu hifadhini ni hatari kwa ustawi wa hifadhi.
Je ongezeko la hoteli nyingi za kitalii hifadhini na msongamano mkubwa wa magari /utalii hifadhini, je hizo si hatari kwa ustawi wa hifadhi?
 
Je ongezeko la hoteli nyingi za kitalii hifadhini na msongamano mkubwa wa magari /utalii hifadhini, je hizo si hatari kwa ustawi wa hifadhi?
Hotel hifadhini ni sehemu ya uhifadhi wenyewe maana lengo la hifadhi ni kuleta watalii na gari kupita hifadhini pia sio ajabu kwani hao watalii lazima wapande magari ili kufanya utalii wao lakini kuruhusu makazi ya kudumu ya wanadamu ndani ya hifadhi lilikuwa kosa kubwa sana ni kosa kubwa sana na litaendelea kuwa kosa litakalotugharimu tusipochukua hatua sasa.
 
Mbona huitishi maandamano ili ujenzi wa hoteli huko hifadhini upungue....

mmelipwa ili kuunga mkono uporaji wa ardhi ya wamasai ili mjenge hoteli.

Unafahamu moja ya kivutio kikuazbwa cha Ngorongoro ni nini (ukiondoa wanyama na Crater)?
Hicho wanachosema kivutio ch wanyama na binadamu kuishi pamoja
Hapana...
Lazima maandamano yafanyike hatutakubali hifadhi yetu ambayo ni urithi muhimu sana iharibiwe kienyeji
 
Nina uchungu nazo sana ndio maana nakushauri tufanye maandamano ya kuhamisha binadamu wote kwenye nchi ya Tanzania ili wanyama wajiachie vizuri, au we unaonaje kwani?
Wewe hauna uchungu naona unataka kupiga siasa kwenye mambo nyeti
 
Kabla hujazaliwa wamasai walikuwepo Ngorongoro na imekuwa salama mpaka sasa, hao wanaosema kuna tishio la Ngorongoro kutoweka ni wasaka fursa tu.
Hauhitaji akili nyingi sana kujua kwamba kwa vyovyote iwavyo ongezeko la binadamu mle ndani ya hifadhi hatima yake ni kuua hifadhi. Hata kama sio leo
 
Bado ni uwehu kufananisha scenarios ambazo hazifanani.
Swala la Ngorongoro liko specific. Sio general. Ondoa wasi wasi. Waliokupa hela wanakujengea hofu ambayo haina sababu. Relax.
Wewe ndio unaleta mambo ya ajabu hivi kuitetea hifadhi ya tanzania lazima niwe nimepewa hela? Inaoneokana hauna uchungu na rasilimali za nchi hadi ulipwe ndio upige porojo ndio maana nikasema kwa huu mtazamo wako ikitokea umepata madalaka makubwa unaweza kuhujumu hifadhi nyingi sana.
 
Wewe hauna uchungu naona unataka kupiga siasa kwenye mambo nyeti
Siasa kivipi? We mbona unataka wahamisjwe Ngorongoro pekee, wakati nchi yote hii imejaa binadamu? Tutumge sheria moya, Tanzania yote waishi wanyama tu, na tuandamane kabisa kushinikiza hili
 
Siasa kivipi? We mbona unataka wahamisjwe Ngorongoro pekee, wakati nchi yote hii imejaa binadamu? Tutumge sheria moya, Tanzania yote waishi wanyama tu, na tuandamane kabisa kushinikiza hili
Hauko serious ngorongoro ilitengwa KWAAJILI ya wanyama pori wanadamu Wana maeneo yao
 
Kama huwajui wamasai nenda kaandamane
Unamaanisha hii issue inahusu wamasai? Kwa uelewa wangu ni kakikundi fulani ka watu wasiozidi laki na nusu haiwezekani tukawaacha Hawa waharibu ngorongoro yenye kutegemewa na watanzania zaidi ya milioni 60 ukiwemo na wewe.
Hawa lazima serikali iwalipe fidia kuwapa maeneo mjadala kisha wahamishwe.
 
Hauko serious ngorongoro ilitengwa KWAAJILI ya wanyama pori wanadamu Wana maeneo yao
Waliotenga hilo eneo ni sisi, na hivyo hata Tz piaunaonaje tukaitenga iwe kwa ajili ya wanyama tu ili wajiachie? Binadamu wote waondoke waende DRc, au we unaonaje?
 
Wale wafugaji wanaofiga wanaolipwa mamilioni Kwa kufuga na kujenga kwenye Hifadhi Wakiachwa Basi hata Mh. Mbowe naye arudishiwe Shamba lake aendelee kulima kwenye Eneo la Hifadhi ya Maji.
Kwanza Mbowe alikua analima Kwa gaharama zake Mwenyewe na alikua anauza nje Kwa gharama zake mwenyewe,yaani alikua halipwi au kupewa ruzuku na serikali kama wale wanaoharibu mazingira kule Ngorongoro huku wakilipwa mamilioni ya pesa mpaka Matibabu.
 
Wewe tukikutoa kwenye makazi yako utajisikiaje, au unaona raha tu likifanywa kwa wengine............kama mmechukua bahasha mjiandae kuzitapika.
Kwani wale wangekua wamepaya ajira Serikalini halafu wakapangiwa kazi Mafia wasingekwanda kuishi mafia ?
Wanzetu Wazungu wanataka kwenda kuanzisha makazi mapya kwenye Sayari ya Mars bila tabu.
Wazungu baada ya kuendelea sana walitafuta makazi mapya sehemu ambazo zilikua nyuma sana lakini walitumia rasilimali zilizopo kupata maendeleo mapya.
 
Waliotenga hilo eneo ni sisi, na hivyo hata Tz piaunaonaje tukaitenga iwe kwa ajili ya wanyama tu ili wajiachie? Binadamu wote waondoke waende DRc, au we unaonaje?
Kina kuuma nini wale watu kuhamishwa pale wakalipwa fidia ili tuache hifadhi ya ngorongoro isiingiliwe na binadamu?
 
Unamaanisha hii issue inahusu wamasai? Kwa uelewa wangu ni kakikundi fulani ka watu wasiozidi laki na nusu haiwezekani tukawaacha Hawa waharibu ngorongoro yenye kutegemewa na watanzania zaidi ya milioni 60 ukiwemo na wewe.
Hawa lazima serikali iwalipe fidia kuwapa maeneo mjadala kisha wahamishwe.
Usishadadie vitu ucvyojua chief. Mi mwenyewe nataka wamasai wahamishwe kwa utaratibu na fidia juu. Ukisema ni kikund kidogo unakosea sana. Labda hupajui. Na usisahau wamasai kwasababu ya asili yao ya kuhama kufuata malisho serikali huko nyuma ilitumia huo mwanya kwa kutowatengea maeneo yao ndio maana kila mahali wanaleta fujo za wakulima na wachungaji. Wametapakaa nchi nzima. Kule west kilimanjaro kote kulikuwa kwao wakawatoa miaka hiyo. Waliwafukuza kwenye pori la ihefu nk. Kunatakiwa kuwepo na sera kamili ya kilimo na mifugo.watengewe maeneo yao ya malisho na wzkulima hivyohivyo.
 
Back
Top Bottom