The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
- Thread starter
-
- #21
Kwani litakuwa tukio la kwanza serikali kuwahi kuwatoa watu kwa maslahi mapana ya taifa!?Wewe tukikutoa kwenye makazi yako utajisikiaje, au unaona raha tu likifanywa kwa wengine............kama mmechukua bahasha mjiandae kuzitapika.
Kwa nini unaatack watu badala ya kudiscus maslahi ya taifa kwenye mada husika? Unaambiwa idadi ya hao jamaa inaongezeka kwa kasi ya kutisha ikiwa wako laki moja kwa sasa unategemea baada ya miaka 50 watakuwa wangapi na tutakuwa na hifadhi kweli?Kitenge na wenzie wana sura nyingi alafu uelewa hawana...issue kubwa ya so called journoz wa nchi hii uelewa sifuri kelele mingi.
Kasome kwanza alafu uje na mada yenye maana sio huu upuusi ulioandika
Mbona huitishi maandamano ili ujenzi wa hoteli huko hifadhini upungue....Kuhusu ajira yangu haina uhusiano na kutetea maslahi mapana ya taifa langu najua ile hifadhi ikiachwa iharibiwe taifa litaingia hasara kubwa sana kuliko kuwaondoa hao waliovamia makazi ya wanyama
Nina uchungu nazo sana ndio maana nakushauri tufanye maandamano ya kuhamisha binadamu wote kwenye nchi ya Tanzania ili wanyama wajiachie vizuri, au we unaonaje kwani?Kwa hiyo wewe ni mkongo ndio maana hauna uchungu na rasilimali za Tanzania?
Hela za watu mlizokula zinawatia kiwewe. Mliahidi nini?Rasmi naomba kutoa kusudio langu la kuitisha maandamano makubwa ya kunusuru hifadhi ya taifa ya Ngorongoro.
Nimeanza mchakato wa kuomba kibali polisi na mamlaka zingine husika ili kuitisha maandamano makubwa yatakayofanyika hivi karibuni ili kuishinikiza serikali iwaondoe binadamu wote waliomo ndani ya hifadhi ya taifa ya Ngorongoro kwani ni dhahiri wakiachwa humo hifadhi hiyo itakufa. Nimefikia uamuzi huo baada ya kuona licha ya nguvu zoote ilizonazo Serikali lakini inasita kuzitumia kuwatoa hao jamaa.
Kama Serikali imeweza kuwatoa machinga waliokuwa wamezagaa kwenye miji yote nchini, kama serikali iliweza kuvunja makazi ya watu pale kimara Mbezi naamini hata hawa waliomo ndani ya hifadhi wataondolewa na hakutatokea madhara yoyote zaidi sana tutainusuru hifadhi yetu kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Naomba watanzania wote wenye uzalendo na nchi hii mniunge mkono pindi nikikamlisha maandalizi yote muhimu ya maandamano hayo.
Mmeshachanganyikiwa sasa. Mlijua hili swala ni rahisi sana![emoji871]Naunga mkono hoja na mimi nitakuwa mstari wa mbele kuandamana.
[emoji871]Mleta hoja endelea na taratibu zote halali na utujuze siku na mahali rasmi!
Nyumbu watakuondolea umaskini? Kama wewe ni mwajiriwa wa NCAA, jiandae kuhamia halmashauri kwenu kama afisa mazingira. NCAA lazima ifumuliwe. Imejaa rushwa na uongo. Wameshindwa kulinda hifadhi mseto. Kushindwa kwao kulinda hifadhi dhidi ya uvamizi kutoka nje basi wanaona Wamaasai ndio kikwazo.Mi nakuunga mkono, wamasai lazima waondoke ngorongoro. Hakuna sehemu yoyote hapa duniani wanyama wanaishi na binadamu! Hii iko tz kwa maana watu hapa nikisema ni bongolala watalalamika niseme hawajitambui wamelala usingizi wa pono! Wanataka maendeleo lakini ukiwauliza faida ya wamasai kukaa ngoro2 ni nini hawana majibu! Au toka wamasai wamekaa ngoro2 wewe umenufaika na nini bila shaka hakuna! Sasa nikutajie faida za wanyama kukaa ngoro2? Hivi vijana wa tz mnafikiri mikakati ya kuondoa umasikini ni sawa na kunywa Viroba? Wakiwauliza kwa nini nyie ni masikini na mna mbuga za wanyama mnasema hamjui! Jinga kweli nyie.
Umekula hela za watu peke yako. Ona sasa umewehuka?Kwani litakuwa tukio la kwanza serikali kuwahi kuwatoa watu kwa maslahi mapana ya taifa!?
Mbona kule bonde la ruaha ihefu waliondolewa watu wengi tu! Na waliondoka na maisha yanaendelea
Hoja hapa ni ngorongoro lazima tuipiganie kwa nguvu zote labda kama mwenzangu umezeheka sana na hauoni cha kupotezaMbona huitishi maandamano ili ujenzi wa hoteli huko hifadhini upungue....
mmelipwa ili kuunga mkono uporaji wa ardhi ya wamasai ili mjenge hoteli.
Unafahamu moja ya kivutio kikubwa cha Ngorongoro ni nini (ukiondoa wanyama na Crater)?
Hakuna mtu ambaye hata kufa hata wewe utakufa ninachotaka ngorongoro ibaki salamaWamasai watakufunjia chungu utakufa wee na ukoo wako wote ingawa siyo kwa wakt mmoja [emoji3] ila mtakufa mmoja baada ya mmoja
By the way unawaondoaje watu waliokuepo hapo miaka na miaka enzi na enzi serekali yoyote itakayowaondoa wale watu pale itafunjika vibaya sna ogopa sna laaan ya wamasai babu .
Msingi tu waondolewa wale wanaojenga nyumba za kudumu wale ndio wanapoteza. Asili la Hilo eneo serekali ifikirie Sana ktk Hilo
Binafs sikubaliana na Hawa ndugu zangu ktk kujenga nyumba za kudumu kwani kufanya hvyo Ni kapoteza uhalisia na asili ya eneo Hilo
Hakuna hata mia ya mtu nimekula ninachoogopa ni kwamba tukiwaacha watu wenye mawazo kama ya kwako ipo siku mtaingia ikulu na mawazo haya na hapa mtatuambia mlima kilimanjaro ni mkubwa mno tuulime upungue unatukeraUmekula hela za watu peke yako. Ona sasa umewehuka?
Bado ni uwehu kufananisha scenarios ambazo hazifanani.Hakuna hata mia ya mtu nimekula ninachoogopa ni kwamba tukiwaacha watu wenye mawazo kama ya kwako ipo siku mtaingia ikulu na mawazo haya na hapa mtatuambia mlima kilimanjaro ni mkubwa mno tuulime upungue unatukera
mwanakujaamaviRasmi naomba kutoa kusudio langu la kuitisha maandamano makubwa ya kunusuru hifadhi ya taifa ya Ngorongoro.
Nimeanza mchakato wa kuomba kibali polisi na mamlaka zingine husika ili kuitisha maandamano makubwa yatakayofanyika hivi karibuni ili kuishinikiza serikali iwaondoe binadamu wote waliomo ndani ya hifadhi ya taifa ya Ngorongoro kwani ni dhahiri wakiachwa humo hifadhi hiyo itakufa. Nimefikia uamuzi huo baada ya kuona licha ya nguvu zoote ilizonazo Serikali lakini inasita kuzitumia kuwatoa hao jamaa.
Kama Serikali imeweza kuwatoa machinga waliokuwa wamezagaa kwenye miji yote nchini, kama serikali iliweza kuvunja makazi ya watu pale kimara Mbezi naamini hata hawa waliomo ndani ya hifadhi wataondolewa na hakutatokea madhara yoyote zaidi sana tutainusuru hifadhi yetu kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Naomba watanzania wote wenye uzalendo na nchi hii mniunge mkono pindi nikikamlisha maandalizi yote muhimu ya maandamano hayo.
Kabla hujazaliwa wamasai walikuwepo Ngorongoro na imekuwa salama mpaka sasa, hao wanaosema kuna tishio la Ngorongoro kutoweka ni wasaka fursa tu.Hakuna mtu ambaye hata kufa hata wewe utakufa ninachotaka ngorongoro ibaki salama
Hata usipotumia akili nyingi utaweza kujua kwamba ongezeko la binadamu hifadhini ni hatari kwa ustawi wa hifadhi.Kabla hujazaliwa wamasai walikuwepo Ngorongoro na imekuwa salama mpaka sasa, hao wanaosema kuna tishio la Ngorongoro kutoweka ni wasaka fursa tu.