Je ongezeko la hoteli nyingi za kitalii hifadhini na msongamano mkubwa wa magari /utalii hifadhini, je hizo si hatari kwa ustawi wa hifadhi?Hata usipotumia akili nyingi utaweza kujua kwamba ongezeko la binadamu hifadhini ni hatari kwa ustawi wa hifadhi.
Hotel hifadhini ni sehemu ya uhifadhi wenyewe maana lengo la hifadhi ni kuleta watalii na gari kupita hifadhini pia sio ajabu kwani hao watalii lazima wapande magari ili kufanya utalii wao lakini kuruhusu makazi ya kudumu ya wanadamu ndani ya hifadhi lilikuwa kosa kubwa sana ni kosa kubwa sana na litaendelea kuwa kosa litakalotugharimu tusipochukua hatua sasa.Je ongezeko la hoteli nyingi za kitalii hifadhini na msongamano mkubwa wa magari /utalii hifadhini, je hizo si hatari kwa ustawi wa hifadhi?
Hicho wanachosema kivutio ch wanyama na binadamu kuishi pamojaMbona huitishi maandamano ili ujenzi wa hoteli huko hifadhini upungue....
mmelipwa ili kuunga mkono uporaji wa ardhi ya wamasai ili mjenge hoteli.
Unafahamu moja ya kivutio kikuazbwa cha Ngorongoro ni nini (ukiondoa wanyama na Crater)?
Lazima maandamano yafanyike hatutakubali hifadhi yetu ambayo ni urithi muhimu sana iharibiwe kienyejiHapana...
Wewe hauna uchungu naona unataka kupiga siasa kwenye mambo nyetiNina uchungu nazo sana ndio maana nakushauri tufanye maandamano ya kuhamisha binadamu wote kwenye nchi ya Tanzania ili wanyama wajiachie vizuri, au we unaonaje kwani?
Hauhitaji akili nyingi sana kujua kwamba kwa vyovyote iwavyo ongezeko la binadamu mle ndani ya hifadhi hatima yake ni kuua hifadhi. Hata kama sio leoKabla hujazaliwa wamasai walikuwepo Ngorongoro na imekuwa salama mpaka sasa, hao wanaosema kuna tishio la Ngorongoro kutoweka ni wasaka fursa tu.
Wewe ndio unaleta mambo ya ajabu hivi kuitetea hifadhi ya tanzania lazima niwe nimepewa hela? Inaoneokana hauna uchungu na rasilimali za nchi hadi ulipwe ndio upige porojo ndio maana nikasema kwa huu mtazamo wako ikitokea umepata madalaka makubwa unaweza kuhujumu hifadhi nyingi sana.Bado ni uwehu kufananisha scenarios ambazo hazifanani.
Swala la Ngorongoro liko specific. Sio general. Ondoa wasi wasi. Waliokupa hela wanakujengea hofu ambayo haina sababu. Relax.
Siasa kivipi? We mbona unataka wahamisjwe Ngorongoro pekee, wakati nchi yote hii imejaa binadamu? Tutumge sheria moya, Tanzania yote waishi wanyama tu, na tuandamane kabisa kushinikiza hiliWewe hauna uchungu naona unataka kupiga siasa kwenye mambo nyeti
Hauko serious ngorongoro ilitengwa KWAAJILI ya wanyama pori wanadamu Wana maeneo yaoSiasa kivipi? We mbona unataka wahamisjwe Ngorongoro pekee, wakati nchi yote hii imejaa binadamu? Tutumge sheria moya, Tanzania yote waishi wanyama tu, na tuandamane kabisa kushinikiza hili
Unamaanisha hii issue inahusu wamasai? Kwa uelewa wangu ni kakikundi fulani ka watu wasiozidi laki na nusu haiwezekani tukawaacha Hawa waharibu ngorongoro yenye kutegemewa na watanzania zaidi ya milioni 60 ukiwemo na wewe.Kama huwajui wamasai nenda kaandamane
Waliotenga hilo eneo ni sisi, na hivyo hata Tz piaunaonaje tukaitenga iwe kwa ajili ya wanyama tu ili wajiachie? Binadamu wote waondoke waende DRc, au we unaonaje?Hauko serious ngorongoro ilitengwa KWAAJILI ya wanyama pori wanadamu Wana maeneo yao
Kwani wale wangekua wamepaya ajira Serikalini halafu wakapangiwa kazi Mafia wasingekwanda kuishi mafia ?Wewe tukikutoa kwenye makazi yako utajisikiaje, au unaona raha tu likifanywa kwa wengine............kama mmechukua bahasha mjiandae kuzitapika.
Nakushangaa sana hivi kupigania rasilimali za nchi hadi ulipwe? Mbona kuna watu wanapigania wanasiasa bila kulipwa chochote alafu mimi iwe ajabu kupigania rasilimali!mshambuliaji kakumegea kidogo sibure
Kina kuuma nini wale watu kuhamishwa pale wakalipwa fidia ili tuache hifadhi ya ngorongoro isiingiliwe na binadamu?Waliotenga hilo eneo ni sisi, na hivyo hata Tz piaunaonaje tukaitenga iwe kwa ajili ya wanyama tu ili wajiachie? Binadamu wote waondoke waende DRc, au we unaonaje?
Kuongea matusi hakuondoi kwamba kuacha binadamu ngorongoro ni kuiharibu hifadhi hata unesco wanajua hilo huenda umebaki wewe tu ndo haujuimwanakujaamavi
Usishadadie vitu ucvyojua chief. Mi mwenyewe nataka wamasai wahamishwe kwa utaratibu na fidia juu. Ukisema ni kikund kidogo unakosea sana. Labda hupajui. Na usisahau wamasai kwasababu ya asili yao ya kuhama kufuata malisho serikali huko nyuma ilitumia huo mwanya kwa kutowatengea maeneo yao ndio maana kila mahali wanaleta fujo za wakulima na wachungaji. Wametapakaa nchi nzima. Kule west kilimanjaro kote kulikuwa kwao wakawatoa miaka hiyo. Waliwafukuza kwenye pori la ihefu nk. Kunatakiwa kuwepo na sera kamili ya kilimo na mifugo.watengewe maeneo yao ya malisho na wzkulima hivyohivyo.Unamaanisha hii issue inahusu wamasai? Kwa uelewa wangu ni kakikundi fulani ka watu wasiozidi laki na nusu haiwezekani tukawaacha Hawa waharibu ngorongoro yenye kutegemewa na watanzania zaidi ya milioni 60 ukiwemo na wewe.
Hawa lazima serikali iwalipe fidia kuwapa maeneo mjadala kisha wahamishwe.