Maandamano makubwa ya kunusuru Hifadhi ya Ngorongoro

Kina kuuma nini wale watu kuhamishwa pale wakalipwa fidia ili tuache hifadhi ya ngorongoro isiingiliwe na binadamu?
Wewe kinakuuma nini watu kuhamishwa Tz tukalipwa fidia tuiache hifadhi ya Tz ili isiingiliwe na binadamu?
 
kwahiyo wahadzabe na wamasai waondolewe ili kabira lao life??
 
Hiyo unayoleta ni mada nyingine sheria ilishatenga ngorongoro kuwa hifadhi ya wanyama na pia imetenga maeneo mengine kwa matumizi ya binadamu. Naomba uniunge mkono tunusuru hifadhi yetu.
Pumbavu. Aliyekwambia wamasai wanaishi ngorongoro kinyume na sheria ni nani
 
Maandamano tunayafanyia wapi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…