Maandamano makubwa yazuka ulaya juu ya konk master, oil chafu, dudu baya

Hakuna kitu kama hicho,lazima kuna maelezo ya hicho kifo labda saratani n.k.Tupige vita kadhia hiyo si kwa kueneza uwongo bali kwa kufundisha na kuelimisha kwa taarifa sahihi.
Ndiyo,nabisha.Hakuna uhalisia na ulichosema on medical grounds etc
 
Would you prove your accusations without any doubt!?
 
Mze wake angekuwa mwema asingemlawiti mwanaye mpaka kumzalisha. Unatoa wapi maoni haya?
Mkuu kwa faida ya wengi, tunaomba hii hadithi ya Mange kuzaa na baba yake kama hutojali, ukiongezea na uthibitisho itakua poa sana
 
Naunga Mkono Hoja.
 
Dudubaya siyo level ya Mange jamani.Msimpe hadhi bure huyo mhuni tu aliyepigana hadharani mbele ya dunia yote ikiona.Anayemtukuza namshangaa sana.Mtu mwimbaji,hatoi nyimbo tucheze,badala yake anaibukia kutaja mashoga.Watu mnacheza ........
Wewe ni ni mdada au
 
Unamuheshimu vp mtu alie jiua mwenyewe
 


Ulichelewa jana ungeungana naye kule aliokoenda kulia lia
 
Jamani watu mnapenda kuzusha
Mwanaume aliyezaa na Mange ni huyu hapa anaitwa Frank
Alikuwa anafanya kazi clouds kbl ya kutimkia Uingereza
Na walikutana na Mange Uingereza wakati anasoma
Na huyu mkubwa ndio first born wao picha ingine wkt yupo mdogoView attachment 921982
 
Binti yake Mange na baba ake mzazi
Wanaishi wote Uingereza
 

https://jamii.app/JFUserGuide poor African minds.
Simple thinkers! Hata wewe huoni kama hiyo ni edit? Dudu baya hatimae karudi kwa kiki.
 
Du hivi kumbe ni kweli baba yake mange aliliwa mzigo ndo maana akajiua!!?
 
Hivi ni kweli baba ake mange aliliwa mzigo ndo maana akajiua!!?
 
Simkubali kabisa Mange Kimambi lakin tuwe Na Staha Na Hayati Mzee wake Alikuwa Mtu Mwema Sana Na Hata Kama angekuwa si Mwema si busara kumdhalilisha Kwa mapungufu ya Mtu Mwingine
Una uhakika wanachosema ni uongo???
 
daah mtumishi umeenda mbali sana, samehe hao vijana wadogo bado hawajaanza kuchanganua mambo, wakikua watalifaa taifa
Samahan tu mkuu. Naomba niseme; Simjui huyo Mange Kimambi wala huyo mzee Kimambi lakini nachojua tu ni kwamba wamesema Kimambi kisha kufa. Hayuko duniani. Awe aliuawa kama jambazi, iwe alinyongwa kwa kubaka iwe iwavyo lakini twajua kesha kufa. Iweje mtu aliye hai amtukane leo?? Si haki wala si vyema. Ndo maana nimekasirishwa na hawa wanaoona ufahari kumtukana leo. Nasema sio vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…