Maandamano makubwa yazuka ulaya juu ya konk master, oil chafu, dudu baya

Maandamano makubwa yazuka ulaya juu ya konk master, oil chafu, dudu baya

Dudubaya siyo level ya Mange jamani.Msimpe hadhi bure huyo mhuni tu aliyepigana hadharani mbele ya dunia yote ikiona.Anayemtukuza namshangaa sana.Mtu mwimbaji,hatoi nyimbo tucheze,badala yake anaibukia kutaja mashoga.Watu mnacheza ........
Sasa Mange Levo zake ndo hizi.
Wanywa gongo.
 
Wewe ndie ulie liweka apa hili suala ninge kuona wa maana kama unge funguka apa sasa ni mfuate nimuulize ili iweje??


Kila mtanzania anajuwa kuhusu Mange kuzaa na baba yake mzazi, nirudie ya nini?
 
Back
Top Bottom