Maandamano mapya tena tarehe 16 mwezi wa 7 huko Kenya

Maandamano mapya tena tarehe 16 mwezi wa 7 huko Kenya

Ruto kumshinikiza atoke madarakani ni kosa kubwa sana baadhi ya wananchi wa Kenya wanafanya na itawagharimu sana, sababu hao vijana wanatumika na wanasiasa wa upinzani, kama ni Finance bill katoa, kama ni Baraza la Mawaziri kavunja, hao vijana sasa ni wapuuzi na wanastahili adhabu kali sanaa..!!

Ruto asikubali vijana wahuni watumike na wanasiasa wapinzani wake, yaani hao vijana wana bahati sana, ingekuwa Tz tunawachukua wote, watakaa magereza kwa kesi ya uhaini na watalima mashamba ya magereza zetu na chakula kitauzwa hadi nje ya nchi..!! Nyoko sana Gen-Z..!!😡😡
 
Ruto kumshinikiza atoke madarakani ni kosa kubwa sana baadhi ya wananchi wa Kenya wanafanya na itawagharimu sana, sbb hao vijana wanatumika na wanasiasa wa upinzani, kama ni Finance bill katoa, kama ni Baraza la Mawaziri kavunja, hao vijana sasa ni wapuuzi na wanastahili adhabu kali sanaa..!! Ruto asikubali vijana wahuni watumike na wanasiasa wapinzani wake, yaani hao vijana wana bahati sana, ingekuwa Tz tunawachukua wote, watakaa magereza kwa kesi ya uhaini na watalima mashamba ya magereza zetu na chakula kitauzwa hadi nje ya nchi..!!
unajua kujibu ya watu kwenu walaa
 
Ruto anapata wakati mgumu wakenya wamepanga tena maandamano siku ya jumanne ambayo tarehe 16 mwezi huu.
Lengo ni kuondoka madarakani ruto si vingine hata abadilishe nini?
William Rutto hawezi kutawala Kenya. Yeye ndiye mlengwa hata kama angefuta civil service yote, asipotoka yeye GEN Z hawawezi kupoa.

Na the more anazidi kubaki madarakani na ku resist ndivyo anavyotengeneza jinai zingine zitakazo mgharimu akitoka.

Jacob Juma (RIP), mshirika mwenzie kwenue YK92 alitabiri haya
20240712_212039.jpg
 
Ruto kumshinikiza atoke madarakani ni kosa kubwa sana baadhi ya wananchi wa Kenya wanafanya na itawagharimu sana, sababu hao vijana wanatumika na wanasiasa wa upinzani, kama ni Finance bill katoa, kama ni Baraza la Mawaziri kavunja, hao vijana sasa ni wapuuzi na wanastahili adhabu kali sanaa..!!

Ruto asikubali vijana wahuni watumike na wanasiasa wapinzani wake, yaani hao vijana wana bahati sana, ingekuwa Tz tunawachukua wote, watakaa magereza kwa kesi ya uhaini na watalima mashamba ya magereza zetu na chakula kitauzwa hadi nje ya nchi..!!
Wanayo haki. Wala usifananishe kenya na shamba letu la bibi. Kawasikilize hoja zake. Aliyeratibu finance bill n ruto so atoke. Anawalundikia makodi so tatzo halija tatuliwa. Mpaka kisiki king'olewe
 
Kwani hawawezi kufikisha hoja zao bila kuandamana na kumtaka rais aachie ngazi? Ruto hajajiweka hapo ikulu amepigiwa kura .wahuni wakiendekezwa hao wataichoma nchi
Katiba yao inasema wanachi ndiyo wananguvu na wanaweza kumtoa Rais kwenye madaraka indirectly au directly kwa mujibu wa Ibara 1 (2) ya Katiba ya Kenya ya mwaka 2010:


Screenshot_20240714_124250_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom