Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Kwa hio atoke au abakie?Sikio la kufa halisikii dawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hio atoke au abakie?Sikio la kufa halisikii dawa.
#RuttoMustGoKwa hio atoke au abakie?
Kama wewe si raia wa Kenya kausha dingii, wacha wenye nchi yao wafanye vile wanaona ni sawa.Ruto kumshinikiza atoke madarakani ni kosa kubwa sana baadhi ya wananchi wa Kenya wanafanya na itawagharimu sana, sababu hao vijana wanatumika na wanasiasa wa upinzani, kama ni Finance bill katoa, kama ni Baraza la Mawaziri kavunja, hao vijana sasa ni wapuuzi na wanastahili adhabu kali sanaa..!!
Ruto asikubali vijana wahuni watumike na wanasiasa wapinzani wake, yaani hao vijana wana bahati sana, ingekuwa Tz tunawachukua wote, watakaa magereza kwa kesi ya uhaini na watalima mashamba ya magereza zetu na chakula kitauzwa hadi nje ya nchi..!!
Waafrika ni mipumbavu na mimbumbumbu ya mwisho kabisa..... Badala mshurikiane na ruto kazi ziende uchumi upae... Ukutwa kutaka kufurahisha wazungu.... Hizo akili za kishoga kabisa!!William Rutto hawezi kutawala Kenya. Yeye ndiye mlengwa hata kama angefuta civil service yote, asipotoka yeye GEN Z hawawezi kupoa.
Na the more anazidi kubaki madarakani na ku resist ndivyo anavyotengeneza jinai zingine zitakazo mgharimu akitoka.
Jacob Juma (RIP), mshirika mwenzie kwenue YK92 alitabiri hayaView attachment 3042206
weeee sema suuu! jitokeze hadharani uyaseme hayaRuto kumshinikiza atoke madarakani ni kosa kubwa sana baadhi ya wananchi wa Kenya wanafanya na itawagharimu sana, sababu hao vijana wanatumika na wanasiasa wa upinzani, kama ni Finance bill katoa, kama ni Baraza la Mawaziri kavunja, hao vijana sasa ni wapuuzi na wanastahili adhabu kali sanaa..!!
Ruto asikubali vijana wahuni watumike na wanasiasa wapinzani wake, yaani hao vijana wana bahati sana, ingekuwa Tz tunawachukua wote, watakaa magereza kwa kesi ya uhaini na watalima mashamba ya magereza zetu na chakula kitauzwa hadi nje ya nchi..!!
Chawa unajua tu kuimba #RutoMustGo..#RuttoMustGo
I care the less.Kwa hio atoke au abakie?
Atoke? Abakie? Au mpaka adunguliwe Sikio?I care the less.
Ingeakua kwetu isingetokeaRuto kumshinikiza atoke madarakani ni kosa kubwa sana baadhi ya wananchi wa Kenya wanafanya na itawagharimu sana, sababu hao vijana wanatumika na wanasiasa wa upinzani, kama ni Finance bill katoa, kama ni Baraza la Mawaziri kavunja, hao vijana sasa ni wapuuzi na wanastahili adhabu kali sanaa..!!
Ruto asikubali vijana wahuni watumike na wanasiasa wapinzani wake, yaani hao vijana wana bahati sana, ingekuwa Tz tunawachukua wote, watakaa magereza kwa kesi ya uhaini na watalima mashamba ya magereza zetu na chakula kitauzwa hadi nje ya nchi..!! Nyoko sana Gen-Z..!![emoji35][emoji35]
Acha uchawa wewe!!!Ruto kumshinikiza atoke madarakani ni kosa kubwa sana baadhi ya wananchi wa Kenya wanafanya na itawagharimu sana, sababu hao vijana wanatumika na wanasiasa wa upinzani, kama ni Finance bill katoa, kama ni Baraza la Mawaziri kavunja, hao vijana sasa ni wapuuzi na wanastahili adhabu kali sanaa..!!
Ruto asikubali vijana wahuni watumike na wanasiasa wapinzani wake, yaani hao vijana wana bahati sana, ingekuwa Tz tunawachukua wote, watakaa magereza kwa kesi ya uhaini na watalima mashamba ya magereza zetu na chakula kitauzwa hadi nje ya nchi..!! Nyoko sana Gen-Z..!!😡😡
Sehemu yako sahihi ni kubeti na uchambuzi wa mpira huko kwa wanaume hakukufai.Kwani hawawezi kufikisha hoja zao bila kuandamana na kumtaka rais aachie ngazi? Ruto hajajiweka hapo ikulu amepigiwa kura .wahuni wakiendekezwa hao wataichoma nchi
Hao vijana ni wapumbavu tu. Ruto jawezi akatoka madarakani kwa mashinikizo yao. Kama Ruto akiondoka madarakani atasababisha anarchy, ni moja kwa moja Kenya inaenda kuwa failed state, sababu kila atakayekuja upande mwingine utamkataa kwa style hiyohiyo.Ruto kumshinikiza atoke madarakani ni kosa kubwa sana baadhi ya wananchi wa Kenya wanafanya na itawagharimu sana, sababu hao vijana wanatumika na wanasiasa wa upinzani, kama ni Finance bill katoa, kama ni Baraza la Mawaziri kavunja, hao vijana sasa ni wapuuzi na wanastahili adhabu kali sanaa..!!
Ruto asikubali vijana wahuni watumike na wanasiasa wapinzani wake, yaani hao vijana wana bahati sana, ingekuwa Tz tunawachukua wote, watakaa magereza kwa kesi ya uhaini na watalima mashamba ya magereza zetu na chakula kitauzwa hadi nje ya nchi..!! Nyoko sana Gen-Z..!!😡😡
Kama ccmSikio la kufa halisikii dawa.