Maandamano mapya tena tarehe 16 mwezi wa 7 huko Kenya

Maandamano mapya tena tarehe 16 mwezi wa 7 huko Kenya

Ya wakenya tuwaachie waKenya.
Wao ndio wanaoijua Kenya kuliko sisi.

Ujinga na uoga wetu tubaki nao wenyewe, wao wameweka wazi, wanaitafuta revolution ya kweli na hawahitaji wanasiasa.
 
Tatizo siyo CCM kijana, tatizo Tanzania njaa kali, hakuna upinzani wa kweli, ni mchezo wa kuigiza tu. Tanzania ina chama kimoja tu mpaka sasa, Mpinzania wa kweli hakai. Mtikilia, Kighoma malima, hao ndiyo walikuwa wapinzani wakweli.

Usijihangaishe kijana, ingia kwenye hivi vyama vya siasa kwa kutafuta manufaa yako tu. Usifikiri kuna upinzani wa kweli. Viongozi wa vyama vya upinzani wanaojiita wapinzani wote ni mapandikizi.
 
Naona hata Jeshi la Kenya limemsaliti Ruto
Ruto has lost the trust of the people. He has no legitimacy to govern. His government is irredeemably corrupt, unaccountable, and murderous. The social contract is a contract like any other, and the people have terminated it for non-performance.
20240715_070539.jpg
 
Back
Top Bottom