Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
yanayo ibuka ni mengi usiwe kama chalamila weweWakenya ujuaji umezidi kama hawataki nchi iwe na viongozi wa kidemokrasia waruhudu jeshi liwatawale
unajua kujibu ya watu kwenu walaaRuto kumshinikiza atoke madarakani ni kosa kubwa sana baadhi ya wananchi wa Kenya wanafanya na itawagharimu sana, sbb hao vijana wanatumika na wanasiasa wa upinzani, kama ni Finance bill katoa, kama ni Baraza la Mawaziri kavunja, hao vijana sasa ni wapuuzi na wanastahili adhabu kali sanaa..!! Ruto asikubali vijana wahuni watumike na wanasiasa wapinzani wake, yaani hao vijana wana bahati sana, ingekuwa Tz tunawachukua wote, watakaa magereza kwa kesi ya uhaini na watalima mashamba ya magereza zetu na chakula kitauzwa hadi nje ya nchi..!!
Ruto anapata wakati mgumu wakenya wamepanga tena maandamano siku ya jumanne ambayo tarehe 16 mwezi huu.
Lengo ni kuondoka madarakani ruto si vingine hata abadilishe nini?
Namna hiyo si poa kabisaRuto anapata wakati mgumu wakenya wamepanga tena maandamano siku ya jumanne ambayo tarehe 16 mwezi huu.
Lengo ni kuondoka madarakani ruto si vingine hata abadilishe nini?
William Rutto hawezi kutawala Kenya. Yeye ndiye mlengwa hata kama angefuta civil service yote, asipotoka yeye GEN Z hawawezi kupoa.Ruto anapata wakati mgumu wakenya wamepanga tena maandamano siku ya jumanne ambayo tarehe 16 mwezi huu.
Lengo ni kuondoka madarakani ruto si vingine hata abadilishe nini?
Kwani hawawezi kufikisha hoja zao bila kuandamana na kumtaka rais aachie ngazi? Ruto hajajiweka hapo ikulu amepigiwa kura .wahuni wakiendekezwa hao wataichoma nchiyanayo ibuka ni mengi usiwe kama chalamila wewe
WE ZAKO ULISHAJITOKEZA NA JINA LAKO KAMILI KUSEMA KOKOTEKwani hawawezi kufikisha hoja zao bila kuandamana na kumtaka rais aachie ngazi? Ruto hajajiweka hapo ikulu amepigiwa kura .wahuni wakiendekezwa hao wataichoma nchi
SijakuelewaWE ZAKO ULISHAJITOKEZA NA JINA LAKO KAMILI KUSEMA KOKOTE
View attachment 3042208
ULISHAWAI KUJITOKEZA MFANO KUWAREKEBISHA MAKOSA YAO UKAJITA KUWA MIMI NI FULANI.Sijakuelewa
Kiswahili kigumuULISHAWAI KUJITOKEZA MFANO KUWAREKEBISHA MAKOSA YAO UKAJITA KUWA MIMI NI FULANI.
Wanayo haki. Wala usifananishe kenya na shamba letu la bibi. Kawasikilize hoja zake. Aliyeratibu finance bill n ruto so atoke. Anawalundikia makodi so tatzo halija tatuliwa. Mpaka kisiki king'oleweRuto kumshinikiza atoke madarakani ni kosa kubwa sana baadhi ya wananchi wa Kenya wanafanya na itawagharimu sana, sababu hao vijana wanatumika na wanasiasa wa upinzani, kama ni Finance bill katoa, kama ni Baraza la Mawaziri kavunja, hao vijana sasa ni wapuuzi na wanastahili adhabu kali sanaa..!!
Ruto asikubali vijana wahuni watumike na wanasiasa wapinzani wake, yaani hao vijana wana bahati sana, ingekuwa Tz tunawachukua wote, watakaa magereza kwa kesi ya uhaini na watalima mashamba ya magereza zetu na chakula kitauzwa hadi nje ya nchi..!!
Katiba yao inasema wanachi ndiyo wananguvu na wanaweza kumtoa Rais kwenye madaraka indirectly au directly kwa mujibu wa Ibara 1 (2) ya Katiba ya Kenya ya mwaka 2010:Kwani hawawezi kufikisha hoja zao bila kuandamana na kumtaka rais aachie ngazi? Ruto hajajiweka hapo ikulu amepigiwa kura .wahuni wakiendekezwa hao wataichoma nchi
ILO SWALI ANGEULIZWA HUYU BWANA NAZANI UNGEPATA POZI ILIKatiba yao inasema wanachi ndiyo wananguvu na wanaweza kumtoa Rais kwenye madaraka indirectly au directly kwa mujibu wa Ibara 1 (2) ya Katiba ya Kenya ya mwaka 2010:
View attachment 3042222