Maandamano mapya tena tarehe 16 mwezi wa 7 huko Kenya

Kama wewe si raia wa Kenya kausha dingii, wacha wenye nchi yao wafanye vile wanaona ni sawa.

Kwenu bongo tu panawashinda kwa uoga wololoyayeee!!!

Hallelujah!!!
 
Waafrika ni mipumbavu na mimbumbumbu ya mwisho kabisa..... Badala mshurikiane na ruto kazi ziende uchumi upae... Ukutwa kutaka kufurahisha wazungu.... Hizo akili za kishoga kabisa!!
 
weeee sema suuu! jitokeze hadharani uyaseme haya
 
Muda wowote kutokea sasa,yaliyotokea libya yanakwenda kuonekana Kenya.
Mwanzoni niliwasifu kwamba wanahitaji kusikilizwa kuhusu muswada kandamizi,lakini kumbe wana ajenda fiche,kumtoa kabisa madarakani.

Huwenda kwa nia njema akatoka,ila je"Kenya inayohitajika iko karibu"au ndio utakuwa muendelezo wa maandamano???

Mungu awasimamie.
 
Ingeakua kwetu isingetokea
 
Acha uchawa wewe!!!
 
Hao vijana ni wapumbavu tu. Ruto jawezi akatoka madarakani kwa mashinikizo yao. Kama Ruto akiondoka madarakani atasababisha anarchy, ni moja kwa moja Kenya inaenda kuwa failed state, sababu kila atakayekuja upande mwingine utamkataa kwa style hiyohiyo.
Na siyo kwamba Ruti hana watu, ila wametulia wanasubiri the right time ili wasije kulaumiwa, and as of sasa hao waandamanaji wameshagawanyika sana.
Huu mchezo unachezwa na akina Odinga, ndiyo maana ghafla tu Kenyatta kajitenga nao na kipindi hiki wala hasikiki, ila wenye project yao ndiyo wanadikika.
 
Dah, pamoja na yote yanayomtokea, HE Ruto is just a good leader.
Wakenya watamkumbuka baada ya yeye kuondoka kama ambavyo baadhi wanavyomkumbuka Hayati JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…