Tatizo siyo CCM kijana, tatizo Tanzania njaa kali, hakuna upinzani wa kweli, ni mchezo wa kuigiza tu. Tanzania ina chama kimoja tu mpaka sasa, Mpinzania wa kweli hakai. Mtikilia, Kighoma malima, hao ndiyo walikuwa wapinzani wakweli.
Usijihangaishe kijana, ingia kwenye hivi vyama vya siasa kwa kutafuta manufaa yako tu. Usifikiri kuna upinzani wa kweli. Viongozi wa vyama vya upinzani wanaojiita wapinzani wote ni mapandikizi.
Ruto has lost the trust of the people. He has no legitimacy to govern. His government is irredeemably corrupt, unaccountable, and murderous. The social contract is a contract like any other, and the people have terminated it for non-performance.