GE2025 Maandamano mtandaoni yako tayari kwa 80%, ila kwa ground raia wanakimbiza mishe zao tu

GE2025 Maandamano mtandaoni yako tayari kwa 80%, ila kwa ground raia wanakimbiza mishe zao tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
Screenshot_20250923_151135_X.jpg

MangeKimambi hawajui watanzania vizuri ni kwamba anajisumbua tu. Watanzania hakuna hata mmoja atakae toka kuandamana. Maandamano yao yapo mitandaoni. Kila mmoja anamtegemea mwenzake atoke na mwenzake anamtegemea mwenzake mwingine atoke
 
Comrade, naona unahangaika sana na watu wa mitandaoni. Tulia! Waandamane, wasiandmane; wewe kama wewe unapungukiwa nini?
Ndiyo nyinyi mmategemea wenzenu waandamane halafu mje mtambe himu JF. Kwanini unasubiri 29/10, we si ulianzishe tu na mabango yako
 
Ndiyo nyinyi mmategemea wenzenu waandamane halafu mje mtambe himu JF. Kwanini unasubiri 29/10, we si ulianzishe tu na mabango yako
Shida iko wapi? Mbona sasa unahangaika hivi na watu wa mitandaoni? Au unataka watoe utambulisho wao hadharani ili iwe rahisi kwako na hilo genge lako ovu kuwadhuru? Hilo sahau!
 
View attachment 3477777
MangeKimambi hawajui watanzania vizuri ni kwamba anajisumbua tu. Watanzania hakuna hata mmoja atakae toka kuandamana. Maandamano yao yapo mitandaoni. Kila mmoja anamtegemea mwenzake atoke na mwenzake anamtegemea mwenzake mwingine atoke
Unahangaika sana wewe, kamna kwamba hao waTanzania ni mali yako!
Wewe unawajuwa waTanzania hadi ujipe mamlaka ya kuwadharau na kuwadhalilisha?
Hii 'mentality' ya kuwadharau waTanzania hasa mnaitoa wapi nyinyi watu? Kundi lenu nyote, hata humu mtandaoni kila mara mnajiweka kuwa nyinyi ndio mnaowajuwa waTanzania!

Ndiyo maana huyu mama yenu atapata matatizo makubwa sana kwa dharau hizi mnazo wafanyia waTanzania.

Kuwanunua hao wachache ili wawafanyie uchafu wenu, ndio sasa unawalaza akili kabisa na kufikiri mnaweza kufanya kila upuuzi bila kuhojiwa?

Sasa hiyo picha hapo umeiweka isaidie nini kwenye mada ya kipuuzi kama hii.
 
Shida iko wapi? Mbona sasa unangaika hivi na watu wa mitandaoni? Au unataka watoe utambulisho wao hadharani ili iwe rahisi kwako na hilo genge lako ovu kuwadhuru? Hilo sahau!
Huyu ni mmoja wa wapuuzi wanaomtumikia Samia Suluhu Hassan humu JF. Sehemu ya msukumo unaompa kihelehele ni imani yake. Huyu ni sehemu ya Genge; ikiwa ni pamoja na akina Jumanne Mulilo ambao imani yao ndiyo inayowafanya kuhangaika kama wanavyofanya sasa hivi.

Huyu hana maslahi na nchi; maslahi yake ni imani yake na hawa ndio watalkaoleta matatizo makubwa nchini iwapo Samia ataruhusiwa kung'ang'ania madaraka.
 
Nikutakie maandamano mema hapo tarehe 29/10. Ila mimi Oktoba 29 nitatiki
 
Nikutakie maandamano mema hapo tarehe 29/10. Ila mimi Oktoba 29 nitatiki
Unitakie au usinitakie hakuna linalonifanya tena kushughulika na mzoga kama wewe.
Majibu yangu kwako sasa yatakuwa ni ya aina hiyo hiyo ya kimzoga kwa sababu inaonyesha nyinyi siyo watu wastaarabu hata kidogo.
Tabia zenu ni za tofauti kabisa na tabia za kiTanzania. Kama hizi ni tabia za huko kwa wajomba zenu, basi msizilete hapa.
 
Back
Top Bottom