Maandamano si kitu cha lazima ndiyo maana yanahamasishwa na si kulazimishwa

Maandamano si kitu cha lazima ndiyo maana yanahamasishwa na si kulazimishwa

Moose Bull

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
516
Reaction score
1,259
Wakuu, Kuna watu wamekuwa wakiwashambulia na kuwatukana akina Maria Sarungi na wenzake kwa kuhamashisha maandamano kwa kuhamashisha watu waandamane.

Mi naona ni bora hawa watu wanaowashambulia maria Sarungi na wenzake nao wahamasishe watu wasiandamane kisha watu watachagua kipi cha kufuata.

Kwanza tutambue kuwa maandamano ni halali kikatiba na sikukuu haiwezi kuwa sababu ya Maandamano kutofanyika.

Wanaotaka waandamane na wasiotaka waache kuandamana kwa sababu kuandamana na kutukuandamana hakuvunju Sheria ya nchi.

Ni hayo tu wakuu.
 
Kwani hao wanaomshambulia Maria sarungi wanamshambulia kwa bunduki?

Nahisi kila mtu anatumia maneno kwahiyo kila mtu ashinde mechi zake
 
Kwani hao wanaomshambulia Maria sarungi wanamshambulia kwa bunduki?

Nahisi kila mtu anatumia maneno kwahiyo kila mtu ashinde mechi zake
Wao badala ya kuhamashisha watu wasiandamane wanaona chanzo cha matatizo ni hawa wanaojiita wanaharakati. Tuaache watu wachague upande wanaotaka.
 
Back
Top Bottom