jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Ndio maana tunasema maandamano ya kihuni , wanaopangilia wanakurupuka bila mikakati na mbinu sahihiKimsingi mimi binafsi siungi mkono maandamano hasa siku ya sikukuu ya wakristo.
Ama sikukuu yoyote ile ya kidini.
Inshu ni Kuikataa serikali ya wahuni basi maandamano hayo yalenge sikukuu za umma/serikali ili kudai haki tunazo zihitaji.
Acheni waaamini washerekee sikukuu zao kwa utulivu.
Wanatugawa na kutupunguzia nguvu, na naona kama tunaingia mtegoni.Kimsingi mimi binafsi siungi mkono maandamano hasa siku ya sikukuu ya wakristo.
Ama sikukuu yoyote ile ya kidini.
Inshu ni Kuikataa serikali ya wahuni basi maandamano hayo yalenge sikukuu za umma/serikali ili kudai haki tunazo zihitaji.
Acheni waaamini washerekee sikukuu zao kwa utulivu.
https://www.facebook.com/Kimsingi mimi binafsi siungi mkono maandamano hasa siku ya sikukuu ya wakristo.
Ama sikukuu yoyote ile ya kidini.
Inshu ni Kuikataa serikali ya wahuni basi maandamano hayo yalenge sikukuu za umma/serikali ili kudai haki tunazo zihitaji.
Acheni waaamini washerekee sikukuu zao kwa utulivu.
Siku hiyo ukae ndani ufue chupi zako unazivaaga wiki nzima,ukizivua unazitupia uvunguniKimsingi mimi binafsi siungi mkono maandamano hasa siku ya sikukuu ya wakristo.
Ama sikukuu yoyote ile ya kidini.
Inshu ni Kuikataa serikali ya wahuni basi maandamano hayo yalenge sikukuu za umma/serikali ili kudai haki tunazo zihitaji.
Acheni waaamini washerekee sikukuu zao kwa utulivu.
Mbona bibi yako nae anapanga kuandamama D25 nae ni muhuni sio?Ndio maana tunasema maandamano ya kihuni , wanaopangilia wanakurupuka bila mikakati na mbinu sahihi
Umenifurahisha sana mkuuu ahhahahahahaaaSiku hiyo ukae ndani ufue chupi zako unazivaaga wiki nzima,ukizivua unazitupia uvunguni
Mkuu hamna raha kama kuona nchi ikichomwaMi napenda tu machafuko, so hata kama wakisema Maandamano yatafanyika sasa hivi nitaacha kazi na kuandamana.
Rungu, sime, na manati ndizo silaha ninazozitumainia.
Huyo bwana ndio tabia yake chupi 1 anaivaa wiki nzima kisha anaitupia uvunguni anachukia nyingine safi kabatini nayo anaenda nayo wiki tena kisha uvunguni tenaUmenifurahisha sana mkuuu ahhahahahahaaa
Mkuu, mi napenda sana kufanikisha vitu kwa shari, kwa sababu naamini duniani unyonve hautakiwi.Mkuu hamna raha kama kuona nchi ikichomwa
Oktoba 29 ulikuepo wapi na hizo silaha zako za jadi , AK 47 zikirindima. ..Mi napenda tu machafuko, so hata kama wakisema Maandamano yatafanyika sasa hivi nitaacha kazi na kuandamana.
Rungu, sime, na manati ndizo silaha ninazozitumainia.
Nendeni..saivi muende ikulu pale muingie ndaniSababu nyinyi mnao wa kusherekea nao xmass!
Hatari sanaMi napenda tu machafuko, so hata kama wakisema Maandamano yatafanyika sasa hivi nitaacha kazi na kuandamana.
Rungu, sime, na manati ndizo silaha ninazozitumainia.
Ona akili kama hizi ...mnajiona mlivyo wapumbavu...kwamba watu hawatakiwi kuishi kwa amani kwenye nchi yao...na ufukara wako, pakitokea machafuko una pesa za kukodi ndege binafsi ikupeleke ulaya ukakae mwaka mzima ?Ule xmass una raha gni na ndugu zetu wamepigwa risasi za ubongo..
Hapa ni nginjanginjaaa