Maandamano siku ya Christmass ni ujinga,siungi mkono

Maandamano siku ya Christmass ni ujinga,siungi mkono

Nyerere alilipwa bilioni ngapi na nani ili adai uhuru?
Ukianzisha VITA au movement ingia FRONT usikae USA n.k unaamka unataka vijana waandamane kwa ajili yako ili wewe ufaidike na familia yako
 
Ukianzisha VITA au movement ingia FRONT usikae USA n.k unaamka unataka vijana waandamane kwa ajili yako ili wewe ufaidike na familia yako
Unajua ni kwanini wapigania uhuru wa mataifa mengi kusini mwa Afrika walipiga kambi Tanzania na nchi zingine za mbali wakati wanapambana kadai uhuru wao?

Wanaharakati wa ndani hawana uhuru wa kuongea wala kufanya siasa maana mnawateka na kuua.

Unataka baadhi ya wapigania uhuru na haki wa Tanzania walio nje warudi huko ili mteke, mlawiti, muue??
 
Naunga mkono maandamo yoyote yenye lengo la kuwajibisha Serikari au kuing'oa kabisa mdarakani, ata yakifanyika siku ya kiyama.
 
Hauna lolote wewe...ukapishane na AK 47.?..unaumwa mavi wewe...😂😂 Hizo mbanga zenu ziishie kwenye keyboard humu...waulize waliopishana nazo wako wapi saivi...wengine hata hawajulikani walipo...badala ya kuhangaika juani na kupishana risasi Bora upige punyeto ndani kwako. ..
Maisha ni akili mkuu. Yaani unaweza ukamfua/ukamnyoosha mtu mwenye bunduki vibaya mno. Halafu wewe una fimbo ya ukwaju tu!
 
Kimsingi mimi binafsi siungi mkono maandamano hasa siku ya sikukuu ya wakristo.

Ama sikukuu yoyote ile ya kidini.

Inshu ni Kuikataa serikali ya wahuni basi maandamano hayo yalenge sikukuu za umma/serikali ili kudai haki tunazo zihitaji.

Acheni waaamini washerekee sikukuu zao kwa utulivu.
Usijipe umuhimu ambao huna ,who gives a rat ass about you ? ,who fucks cares ? .......tuliza mkundv huo kwenye makochi ya shemeji yako hapo........Tupo watu mamilioni tutashiriki na Ku support resistance movement dhidi ya serikali haramu na dhalimu ya magaidi ccm
 
Hakuna atakaetia pua yake ..kwanza saivi hata ni kama wamechanganyikiwa wameduaraulika ..Yan miaka yote siku za krismas watu wanafurahia na familia zao,eti leo ndio watuletee usenge wao ...
Mseng€ ni yule mpuuzi asiye wajibika kupambana kuweka mambo vizuri akisubiri wengine wapambane yeye afaidi matunda tu ,ndio ******* Kama ninyi mnalia lia humu Kama machoko yanayofirwa kwamba hamna Maji si ajabu hata kuchamba makalio yako hujachamba mbwa wewe ,Una maisha gani wewe mpuuzi ya kusherehekea Christmas ?
 
Wewe mwenye maisha nenda kaandamane mamaeh...wenzio wa oktoba 29 na 30 walifaidika nini zaidi mliwaponza ndugu zetu watanzania wenzentu Hadi wamekufa sababu ya maujinga yenu ya maandamano am ayo hayana maanaa yoyote...waliowaingiza kwenye mkumbo wameshapokea mabilions mamaeh 😂😂😂😂😂....nenda kaandamane tena nenda ikulu pale ndani
 
🤣🤣🤣 Aise ..mbele ya AK 47? bas sawa mkuu ..ambaye atajaribu alete mrejesho😀
Ukikabikiana Moja kwa Moja na mtu mwenye AK 47 basi umekwisha. Utatakiwa umvagae kwa nyuma kwa pupa ndipo utamweza na hivyo ndivyo mimi hufanya.
 
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
 
Back
Top Bottom