Maandamano siku ya Christmass ni ujinga,siungi mkono

Huna akili, period
 
Kama huamini ngoja nirekodi hiyo tarehe 25.
Hauna lolote wewe...ukapishane na AK 47.?..unaumwa mavi wewe...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hizo mbanga zenu ziishie kwenye keyboard humu...waulize waliopishana nazo wako wapi saivi...wengine hata hawajulikani walipo...badala ya kuhangaika juani na kupishana risasi Bora upige punyeto ndani kwako. ..
 
Lengo ni kwamba wote nchi nzima hatutasherehekea tutakuwa ndani kama kawaida hii kitu naipenda sana.
Uwe chawa uwe uvccm uwe huna chama ukitoka tu unakutana nacho.

Tuende hivihivi kwa miaka5 hivi
 
Hiyo starehe ya kusherehekea sikukuu inatoka wapi mdogo wako,kaka yako,dada yako,mjomba,baba au mama mdogo wako haonekani tangu October 29 na pengine mlipeleka maiti yake mochwari lakni hadi leo haonekani.

Furaha hiyo unatoa wapi? Sikia watz ubinafisi tulio nao ndo umetufikisha hapa kwa vile tu wewe unanufaika kwa namna moja ama nyingine basi huna habari kabisa na haya yanafanywa na serikali hii.

Vile wewe hukuwa mhanga wa kupiteza ndg yako wa damu hata huwazi huna uchungu wala nini unaona wanao Dai haki zako wanavuruga amani.

October 29 ni hapa hapa mlisema kwanini muandamane siku ya uchaguzi mmekoswa siku za kuandamana?

Ilo hivi watakao andamana waachwe waandamane ninyi kaeni ndani maana haya hayawahusu siku likiwapta na kuwapata ndo mtakumbuka.

Huna maji ndani mwako hiyo Xmass utasherehekeaje.

Ujinga ni mwingi sana nchi hii
 
Jan12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ