Komaa mpaka huyo mlokole mwenzako apate akili, nipo hapa nafuatiliaSasa hili sio taifa la Israel la Wayahudi, ni taifa la Waislamu, Wakristo, Wahindu, Wabudha, Wapagani, Atheists n.k Kama hata huyo mungu au miungu kweli yupo/wapo na anashughulikia/wanashugulika na mataifa sema atashughulikaje/watashugulikaje na taifa la namna hii.
Mimi nimeangalia hali ya Tanzania kwa maandamano hatutoboi.labda njia aliyotumia Pastor ilikuwa inawezekana ila kwa Tanzania maandamano hayawezekani kwa nature na hii nchi.Mkuu, mchungaji Martin Luther King Jr alipambana na ubaguzi wa watu weusi nchini Marekani kwa maombi? Au mwenzetu una dini kumzidi Pastor Martin Luther King Jr?
Mungu ni wa wote utaona namna atakavyowashughulikia hawa wadhalimu.Sasa hili sio taifa la Israel la Wayahudi, ni taifa la Waislamu, Wakristo, Wahindu, Wabudha, Wapagani, Atheists n.k Kama hata huyo mungu au miungu kweli yupo/wapo na anashughulikia/wanashugulika na mataifa sema atashughulikaje/watashugulikaje na taifa la namna hii.
Mimi sina wasiwasi na uwezo wa Mungu.Nyie ndo wale mnawaambia watu wakiumwa wasiende hospital bali wapambane na maombi kwa sababu hata kwenye Bible watu waliomba wakapona. Mnawaambia watu wasinywe ARV waombe watapona UKIMWI. Na mnawaambia wanafunzi wasisome maana Roho Mtakatifu atawafunulia majibu kwenye mtihani.
Kwani Pastor Martin Luther King Jr alishindwa kufunga na kuomba hadi akaenda front na kuhatarisha maisha yake? Kwanini asingeomba tu maana maombi yanatosha? Kama maombi njia nyepesi inafanya kazi kwanini alijichosha na njia ngumu hadi akauwawa?Mimi nimeangalia hali ya Tanzania kwa maandamano hatutoboi.labda njia aliyotumia Pastor ilikuwa inawezekana ila kwa Tanzania maandamano hayawezekani kwa nature na hii nchi.
Nilitaka kumuuliza hili swali🤣🤣🤣Sawa mkuu, ila ni Wapi waliwahi kuangusha/ kuondoa utawala dhalimu na katili kwa maombi??!
Ukiumwa usiende hospital mkuu, Mungu anaponya.Mimi sina wasiwasi na uwezo wa Mungu.
Ni kama mtoto mdogo anavyokuwa anaamini baba yake masikini ni bilionea anayeweza kumpa kila kitu, sio kosa lake.Mimi sina wasiwasi na uwezo wa Mungu.
Kwa sababu yeye aliona anaweza hiyo njia Sisi watanzania hatuwezi kuandamana hata siku tatu tu mfululizo.Kwani Pastor Martin Luther King Jr alishindwa kufunga na kuomba hadi akaenda front na kuhatarisha maisha yake? Kwanini asingeomba tu maana maombi yanatosha? Kama maombi njia nyepesi inafanya kazi kwanini alijichosha na njia ngumu hadi akauwawa?
Kiongozi wewe utakuwa uMimi naamini katika Mungu.ila ukweli ni kwamba maandamano kwa Tanzania hayawezi kufanikiwa na wengi watauawa.
Kiongozi wewe utakuwa ndio umekuja duniani kuja kuilinda dunia yenyewe mkuuMaandamano sio njia sahihi ya kuleta mabadiliko kwa sababu utasababisha umwagaji damu jambo ambalo ni mtaji kwa hao watu. Mfano maandamano yaliyopita hajakuleta mabadiliko bali wadhalimu wanaendelea na udhalimu wao kama mnavyoona.
Umwagaji damu kwa hao watawala dhalimu ni mtaji yani ni utoaji Kafara kwani wote hao ni watumishi wa mamlaka ya giza ndiyo maana hawaogopi kuua ndo maana sasa hivi wanasema hadharani kuwa watawaua waandamanaji na wanasema wataua zaidi ya walivyoua Mwanzo.
'Njia pekee ni Kumuomba Mungu asimamishe watu wake kwenye hizo nafasi za juu na watumike kuleta mabadiliko na kuwaangusha wadhalimu wote'.
Nina uhakika hilo linafanyika kwa sababu Mungu amesikia kilio cha watu wake waliouawa na hizi tawala dhalimu na ambao tupo hai ni suala la muda tu.
Wakati mnaaomba watawala dhalimu Mungu awaondoe, Kuna kina Mwamposa na Shehe Mwaipopo wanawaombea hawa madhalimu waendelee kuumiza watu,Sawa mkuu, ila ni Wapi waliwahi kuangusha/ kuondoa utawala dhalimu na katili kwa maombi??!
Aliona anaweza? Yaani mtu anaona kifo kile pale unasema aliona anaweza? Hebu kafuatilie historia ya manyanyaso na magumu waliopitia watu weusi nchini Marekani, naona unachukulia poa mapambano ya watu kama kina Mchungaji Martin Luther King Jr.Kwa sababu yeye aliona anaweza hiyo njia Sisi watanzania hatuwezi kuandamana hata siku tatu tu mfululizo.
Labda atujibu Mungu wa Israel maana wale kwenye story zao ndo walikuwa wanapiga maombi na Mungu wao anawajibu waende wakawafyeke maadui zao. Joshua hadi aliomba jua lisimame na Mungu akalisimamisha ili tu wawavyeke maadui zao😂Nilitaka kumuuliza hili swali🤣🤣🤣
Sawa mkuu, mi naanza maombi leo,karibu ujiunge.Mungu ni wa wote utaona namna atakavyowashughulikia hawa wadhalimu.
Walokole popote walipo hata kama ni ulaya au America ni wagonjwa wa akili ,kila siku nakueleza hili unakaza fuvuNi kama mtoto mdogo anavyokuwa anaamini baba yake masikini ni bilionea anayeweza kumpa kila kitu, sio kosa lake.
Sasa hapo maombi ya nani yatakubaliwa? Au Mungu hupokea maombi yapi kati ya maombi ya wananchi wengi wanaopata shida na ukatili wa moja kwa moja kutoka kwenye utawala au hao kina Mwamposa wanaofaidika na utawala dhalimu? Sabab Mungu anaona yanayotendeka na mateso wanayopitia watu wake. Atakuwa mjinga sana kupokea maombi ya Mwamposa na Mwaipopo ambao anawaona wanafaidika na utawala katili na kuacha maombi ya wengi wanaoteseka. Mkuu hii dunia ni katili sana na ukichunguza kwa makini ukishakuwa duniani kuna mambo ni maamuzi yako na siyo swala la Mungu na ingekuwa Mungu anasikiliza na kutekeleza maombi ya watu sidhani kama hii dunia ingekuwa hivi sbabu maombi ya wengi ni juu ya kuishi kwa amani,upendo na haki kwenye jamii.Wakati mnaaomba watawala dhalimu Mungu awaondoe, Kuna kina Mwamposa na Shehe Mwaipopo wanawaombea hawa madhalimu waendelee kuumiza watu,
Naamini watawala wana hofu kubwa kuliko hata wananchi kwani Dunia inawatizama kwa umakini sana,
Pia suala la kunyimwa misaada na vikwazo ni mzigo mkubwa kwao,
Japo maumivu yatakuwa zaidi kwa watu wa hali ya chini.
Walimlilia Mungu gani?Kwenye Biblia kama unaiamini kila muda Taifa la Israel walipotaka mabadiliko walimlilia Mungu,walitubu na mabadiliko yakaja.
Ukweli ni kwamba Watanzania hatuwezi kutumia hata siku 3 kuandamana sio njia Sahihi kwetu tutumie njia nyingine.hatuwwzi maandamano.swali ni kwamba kama tunataka maandamano tutaweza kuandamana kwa siku kadhaa mfululizo?hatuwezi kuhusu kulipwa mimi siwezi kupokea hela zinazonuka damu za watanzania hawawezi kunilipa hao.