Maandamano sio Njia sahihi ya kupingana na huu utawala dhalimu

Maandamano sio Njia sahihi ya kupingana na huu utawala dhalimu

Unaiita maandamano ya amani lakini wenyewe hawayataki watu wakiandamana kutatokea mauaji ya Halaiki na wenyewe watabaki madarakani kwa sababu wanajeshi na polisi.Mbaya zaidi watanzania hamuwezi kukaza hata siku 3 .tutafute mbinu nyingine.
Utafute na nai wakati wewe ni mmoj wao na watu wa regime?
 
Unaiita maandamano ya amani lakini wenyewe hawayataki watu wakiandamana kutatokea mauaji ya Halaiki na wenyewe watabaki madarakani kwa sababu wanajeshi na polisi.Mbaya zaidi watanzania hamuwezi kukaza hata siku 3 .tutafute mbinu nyingine.
Yeah, ndo ukiacha hayo maandamano na maombi. Ipi mbinu mbadala na nzuri kuondoa utawala dhalimu?
 
3.5% ya watu wazima Tanzania ni kama watu milioni 2. Wakiandamana watu milioni 2 kwa wiki mbili mfululizo Dar, Dodoma, Mwanza, Arusha na Mbeya hakuna namna serikali ya CCM itaweza kukataa kufanyia kazi madai yao au serikali kubadilishwa kabisa. Issue ni kwamba watu kuandamana kwa kiwango hicho kwa sasa Tanzania ni kama ndoto.

..Watanzania wanaweza.

..tumesahau kilichotokea NGORONGORO?
 
Back
Top Bottom