Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Salaam Watanganyika.
Maono na maoni yangu na Hali halisi ndio hii.
Mungu azilaze mahala pema peponi roho za mashujaa wetu waliopoteza maisha katika harakati za kuikomboa nchi yetu.
Kwa jicho la kawaida wengi mnaona GEN Z waliopoteza,lkn Kwa jicho la ndani ukweli ni kwamba Gen Z walishinda katika mapambano Yao ya kuikomboa nchi.
Katika maandamano au machafuko Yale pande zote zilipoteza watu,Gen Z waliopoteza watu wengi zaidi kwa sababu serikali ilitumia silaha za moto wakati Gen Z hawakua na silaha za moto,lakin waandamanianji walishinda dhidi ya serikali Yao.
Kwa Nini nasema walishinda.
Nasema walishinda kwa sababu kwanza maandamano yalifanikiwa Kwa idadi kubwa ya watu nchi nzima.
Watu walijitokeza kwa wingi katika mikoa yote mikubwa nchini.
Polisi walizidiwa na idadi kubwa ya waandamanaiji na ikaamua kutumia nguvu kubwa sana kuzima maandamano.
Ushindi wenyewe ni kwamba Gen Z walifanikiwa kupeleka ujumbe mazito sana Kwa CCM ambayo haikutegemea na walifanikiwa kuionesha Dunia juu ya uovu,udhalimu,ukandamizaji,uonevu,udhaifu,uongo,na ushenzi wa CCM dhidi ya raia wake.
Gen Z walifanikiwa kuionesha Dunia kwamba kumbe Amani inayodaiwa kuwepo Tanganyika ni amani ya uongo na vitisho.
Gen Z walifanikiwa kuifanya Dunia itambue kua uchaguzi wa Tanganyika huwa ni uchaguzi wa abracadabra TU na wala sio uchaguzi wa haki.
Gen Z walifanikiwa kuifanya Dunia itambue kwamba,kumbe Tanganyika Kuna polisi na vyombo vya usalama vya hovyo kuliko vyote duniani.
Walifanikiwa kuionesha Dunia kua,kumbe Tanganyika hakuna mfumo wa haki wa uchaguzi na hakuna Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi Bali Kuna tume ya CCM ya uchaguzi wa Taifa na pia kumbe kweli,CCM hua inashinda kwa wizi wa kura.
Mpaka hapa Gen Z walifanikiwa kuifanya Dunia Sasa iitazame Tanganyika kwa macho yote na kuanza kuifatilia kwa umakini zaidi Kwa Kila kinachoendelea.
Ushindi mkubwa ni kwamba Sasa hivi CCM wako kwenye hofu kubwa mno (panic mode) kuliko wakati wowote ule tokea Mkoloni mzungu alipoondoka,Kutokana na mauaji waliyyoyafanya.
Kumbuka Charles (ICC-Tayler,Slobodan Milosevic n.k)
Kwa Hali hiyo CCmM hata wafanyeje ni lazima watalazimishwa na (UN,EU,AU,SADEC kusikiliza matakwa ya wananchi na kwa bahati mbaya takwa kubwa la wananchi ni;
-Katiba Mpya,
-ndani ya katiba Mpya Kuna tume huru ya uchaguzi,ambayo ndio (reforms for election)
-ndani ya katiba Mpya Kuna njia nzuri za kuwapata Viongozi wa kutoa haki na Viongozi wa kulinda haki na Viongozi wa Ulinzi na Usalama ambao CCM ilikua inajivunia na kuwatunia kukandamiza wananchi wanaotofautiana na CCM,
Mfano ;
Majaji,Mkuu wa Majeshi,Mkuu wa Polisi,Mkuu wa Usalama,Mkuu wa Tume ya uchaguzi,Mkuu wa Takukuru,Spika wa Bunge n.k.
Hawa ndio wanaoipa CCM jeuri na kiburi.
Tarehe 29/10/25 Gen Z walishinda kwa kufanikiwa kuifanya Dunia nzima iujue unyama wa CCM.
Kwa Hali yoyote kwa namna yoyote CCM italazimishw kuwasikikiza Wananchi wake wanataka Nini,madai Yao ni Nini.
Na Wananchi wanachokitaka ni Katiba,na reforms za election.
Hapa CCM Haina ujanja Tena ni lazima watatoa TU katiba Mpya,
wakikataa ulimwengu utajua kua kumbe CCM ndio chanzo Cha matatizo wala sio Wananchi wala sio Gen Z,kwa sababu Dunia itahoji kwa Nini CCM haitaki katiba Mpya na reforms for elections?
Sasa hivi Kuna shinikizo jingine la 9/12 /25,wako njia panda wanajiuliza tutawadhibiti vipi safari hii waandamanaji Tena?
Gen Z wamevunja minyororo ya uoga Sasa CCM wanajiuliza je tutakua Tena?
wataendelea kushinikizwa na makundi mbalimbali na Gen Z hawatawapa muda wa kupumua.
CCM ukiwanyang'anya Tume ya Uchaguzi,ni kama mwanadamu ukimzuia kupata Oxygen lwisha habari yake.
Kwa yaliyotokea kwenye machafuko na maandamano CCM imewekwa kwenye njia panda ya kufa, dilemma.
CCM haitatamalaki Tena,ni suala la muda TU.
Uchaguzi wowote wa Haki ukitokea Leo hii CCM itaanguka vibaya mno.
mauaji ya halaiki iliyofanya,watu wengi wameichukia sana.
CCM imefika mwisho ndugu zangu,
29/10/25 ndio ulikua wizi wa mwisho wa kura wa CCM,
Haitapata nafasi ya kuiba kura tena kwa sababu itakua imekwisha kufa.
Wala haitatokea ishinde uchaguzi kwa namna yoyote Tena,
Itaingia kwenye kundi la KANU,ZANUPF n.k
Anguko la CCM ni rasmi ,
Hii kashfa ya mauaji imeiweka serikali ya CCM pabaya mno kitaifa na Kimataifa.
CCM Wana Hali mbaya kuliko mnavyofikiria,tegemeeni vifo vya presha na magonjwa ya kushitukiza.
Gen Z walifanikiwa siku Ile.
Jumuiya za Kimataifa zote ziko na wananchi.
Jumuiya za ndani zote ziko na wananchi.