Wakazi wa mji wa Migori ulioko kaunti ya Migori wamefunga barabara ya kuelekea mpaka wa Kenya na Tanzania - ISEBANIA.
Barabara hio pia hutumika na wasafiri wanaoelekea mji wa Kisii.
Migori ni Moja kati ya kaunti zilizoko Kanda ya Ziwa na ni ngome Kuu ya Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga.View attachment 2570676
Wenzako wanaona hiyo ni sifa😂😂Mnaacha kufanya kazi nyie mnaandamana njaa ikija muanze kulialia
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app