Maandamano ya Alhamisi yaanza (video)

Maandamano ya Alhamisi yaanza (video)

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
Wakazi wa mji wa Migori ulioko kaunti ya Migori wamefunga barabara ya kuelekea mpaka wa Kenya na Tanzania - ISEBANIA.

Barabara hio pia hutumika na wasafiri wanaoelekea mji wa Kisii.

Migori ni Moja kati ya kaunti zilizoko Kanda ya Ziwa na ni ngome Kuu ya Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga.

Nimekaa sana hapo MIGORI nikiwa naendesha shughuli zangu kwenda AWASI mpaka CHEMELIL. Hapo naona ni pale kwenye daraja, ila wajaruo wa Kenya sijajua ni nini Odinga aliwapa maana huyo mzee mnamtii sana kuliko ata wazazi wenu yaani akisema jambo ni lazima lifuatwe.
Wakazi wa mji wa Migori ulioko kaunti ya Migori wamefunga barabara ya kuelekea mpaka wa Kenya na Tanzania - ISEBANIA.

Barabara hio pia hutumika na wasafiri wanaoelekea mji wa Kisii.

Migori ni Moja kati ya kaunti zilizoko Kanda ya Ziwa na ni ngome Kuu ya Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga.View attachment 2570676
 
Back
Top Bottom